Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,930
Alimwambia ipo siku wana CCM wenzako watakugeuka, nini kinatokea sahivi kila siku analalamika kuwa wamemtenga mara tulikuwa tunawafanyia wapinzani sasahivi tunafanyiana wenyewe? Ukitenda ushetani lazima utalipwa hapa hapa, Makonda vipi? leo hii Ndugai ukimuweka hata na Mrisho Ngasa, Ngasa jamii inamheshimu kuliko Ndugai same to Polepole, Kabudi, Bashiru na takataka zingine. Wewe mwenyewe mkuu 2016 mpaka 2018 jamii ilikuwa inakukubali sn ukionekana kwenye kipindi (runinga) kila mtu alikuwa alikuwa anafuatilia kwa makini sn lakini baada ya kujiunga na shetani heshima yako imeshuka sn bellow 20%.Mimi niliisikia tuu ile ndoto ya Lema na mazungumzo na Sabaya
Gambo aliambiwa nini na nanii Lema na kikatokea?.
P
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi na wewe bado kuna watu wanakufuatilia.
Mpeleke mahakamaniLema mwizi maarufu wa magari
Paschal kajiharibia mwenyewe ajilaumu mwenyewe jamii ilikuwa ina-mvalue pakubwa sn kama mtetezi na msema kweliAlikuwa anaheshimika sana ila siku hizi Hana tofauti na TP
[emoji23][emoji23][emoji23]Kiazi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] makubwa tena haya lol.Wewe mbona uko Tanzania na umewekwa kinyumba na mwanaume mwenzako au unafikiri hujulikani kuwa wewe ni jinsia ya tatu?
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Acha chuki wewe bado tu mpaka leo unatafuta huruma ya uteuzi?wewe uliwahi kusema nini cha maana kulinganisha na Lema?Duh.... Hivi kumbe bado kuna watu mnamfuatilia Lema anasemaga nini.
Ukiondoa ile "ndoto ya Lema" iliyokuja kutokea kweli, na lile onyo kwa Sabaya, jee kuna jingine lolote la maana Lema amewahi kulisema na likatokea?
Haya endeleeni.
P
Subiri arudi mahakama Ina muhusu [emoji3526][emoji1787]Mpeleke mahakamani
Huyu kiumbe dhaifu njaa inamsumbua sana.Hivi na wewe bado kuna watu wanakufuatilia.
[emoji23][emoji23][emoji23]Ukiacha lema wewe umeongea nini la maana ukiacha kuwa chawa wa serikali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alimwambia ipo siku wana CCM wenzako watakugeuka, nini kinatokea sahivi kila siku analalamika kuwa wamemtenga mara tulikuwa tunawafanyia wapinzani sasahivi tunafanyiana wenyewe? Ukitenda ushetani lazima utalipwa hapa hapa, Makonda vipi? leo hii Ndugai ukimuweka hata na Mrisho Ngasa, Ngasa jamii inamheshimu kuliko Ndugai same to Polepole, Kabudi, Bashiru na takataka zingine. Wewe mwenyewe mkuu 2016 mpaka 2018 jamii ilikuwa inakukubali sn ukionekana kwenye kipindi (runinga) kila mtu alikuwa alikuwa anafuatilia kwa makini sn lakini baada ya kujiunga na shetani heshima yako imeshuka sn bellow 20%.
Kasema mawili Bro ulitaka aseme mangapi? Kuna watu huku juu hajawahi sema kitu chochote kwenye jamii na ikawa kweli. Mpe sifa zake hata kama itikadi zake huzipendi. Ustaraabu hauna vyama.Duh.... Hivi kumbe bado kuna watu mnamfuatilia Lema anasemaga nini.
Ukiondoa ile "ndoto ya Lema" iliyokuja kutokea kweli, na lile onyo kwa Sabaya, jee kuna jingine lolote la maana Lema amewahi kulisema na likatokea?
Haya endeleeni.
P
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu kiumbe dhaifu njaa inamsumbua sana.
Akipelekwa familia ako itanufaika na nini zaidi ya ujinga?Subiri arudi mahakama Ina muhusu [emoji3526][emoji1787]
Sawa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu tunamfuatilia sana kule Maria Space na club house, anatema madini Safi sana huyu mekuuu, nakushauri ukacheki madini yake..Duh.... Hivi kumbe bado kuna watu mnamfuatilia Lema anasemaga nini.
Ukiondoa ile "ndoto ya Lema" iliyokuja kutokea kweli, na lile onyo kwa Sabaya, jee kuna jingine lolote la maana Lema amewahi kulisema na likatokea?
Haya endeleeni.
P
Kwani asipopelekwa family yako itanufaika Nini zaidi ya kutetea mhalifu/jambazi?Akipelekwa familia ako itanufaika na nini zaidi ya ujinga?
mkuu kojoa ulale ama wamekunyofoa kojoleo huko mashenziniDuh.... Hivi kumbe bado kuna watu mnamfuatilia Lema anasemaga nini.
Ukiondoa ile "ndoto ya Lema" iliyokuja kutokea kweli, na lile onyo kwa Sabaya, jee kuna jingine lolote la maana Lema amewahi kulisema na likatokea?
Haya endeleeni.
P