Lemutuz aombwa kuwa makini na Hamisa Mobetto.

Status
Not open for further replies.
Hivi lemutuz na Mange mlitofautiana kitu gani maana imekuwa vita Kali na naona siku hizi hata Mange akiwa team kiba lemutuz team mond. Saizi Mange anamsapoti aslay hutamuona lemutuz akimsapoti aslay
 
Hivi lemutuz na Mange mlitofautiana kitu gani maana imekuwa vita Kali na naona siku hizi hata Mange akiwa team kiba lemutuz team mond. Saizi Mange anamsapoti aslay hutamuona lemutuz akimsapoti aslay

- mimi nipo kibiashara zaidi kuliko maneno maneno ok

le Mutuz
 
- ni kweli it is about a choice kununua magari au kujenga studio ya Online TV na kutoa ajira kwa vijana 8 tayari, nikachangua kujenga studio hahahahahahaa and I am proud of it

le Mutuz
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
- ni kweli it is about a choice kununua magari au kujenga studio ya Online TV na kutoa ajira kwa vijana 8 tayari, nikachangua kujenga studio hahahahahahaa and I am proud of it

le Mutuz
unawalipa sh ngapi mkuu 35K au?
 
Nasra nae anakutia midole????
 
- Nilitoa nafasi kwa yoyote anayeamini huo upuuzi kama ni mwanamke aje au atume mke wake hakuna aliyejitokeza maana ndio tungekata mzizi wa fitina

le Mutuz
Kibali tu huyo dada kwenye page yake aliandika kuwa kakukimbia kwasababu ya kibamia anaenda mbele zaidi na kusema alifurahi akiwa na wewe bar au shopping lakini sio 6 by 6

Swissme
 
Kwa nini watu hawapatani na Le mutuz?
Akionekana anapigwa maneno hatar tuambiane alichofanya
Tatizo ni umri 50+ na matendo anayoyafanya vitu viwili tofauti , kazi kushika nyonyo za mademu na kupiga nao picha
 
hivi le mutuz ukifa utazikwa mbeya au dodoma?
kwani hata nyumba hajajenga! atakuwa amejenga Mbeya ,Dodoma na Dar.Ukiniambia anaishi nyumba ya kupanga Dar basi hapo kutakuwa na shida! miaka yote hii Ughaibuni na wakati ule wa Mwinyi na Kikwete alivyokuwa karibu na hapo jikoni angeshajenga.utakuwa ni uzembe kweli kama bado!!
 
Mkuu lifestyle lako ni bata 95%
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…