Lemutuz aombwa kuwa makini na Hamisa Mobetto.

Lemutuz aombwa kuwa makini na Hamisa Mobetto.

Status
Not open for further replies.
Yaani hapa lemutuz anatamani ingekuwa Instagram angewablock wote.

Hivi lemutuzi kwanini wewe na dada yako mange hamuishi kuwablock watu wanaotofautiana na nyie kimtazamo? Nia yenu ni kufuga nyumbu wasiowapinga?

- nilikuwepo hapa kabla hujaingia hapa kama ninaogopa ningeshakimbia hahahahaha think again, kule instagram ni business wadhamini wangu hawapendi matusi ndio maana

le Mutuz
 
- kwani kuna urmi wa kuwa na ofisi kumbe? hahahahahahhahaa

le Mutuz
upo umri wakuanza kuchakarika

wewe ulikua unauza sura ulaya saizi akili lazima ukurudie daaaaaaaadeeeeeki

Hao watu unaohang nao wanapesa walianza hustle mapema sana hahahahahahahah
 
kwanini W. J. Malecela asifanyiwe interview na DJ Sepetu

kuna mambo mengi tungependa kuyajua kwa huyu kubwa jinga
Huyu Bora abakie kuwa sehemu YA kurefresh mind kwa wana jf.... Kwa sababu kwenye thread zake hakuna jipya zaidi YA kutaniana na kumuwekea mizaa huyu babu yetu wa kigogo... Le mutuz babu mtoto wangu Ana wa miaka mitatu akimuona atamuita babu...
 
Yaani hapa lemutuz anatamani ingekuwa Instagram angewablock wote.

Hivi lemutuzi kwanini wewe na dada yako mange hamuishi kuwablock watu wanaotofautiana na nyie kimtazamo? Nia yenu ni kufuga nyumbu wasiowapinga?
Hao wote akili zao zinafanana, hawape di kufuga akili kubwa kwenye account zao, wote hao niliwahi kuwafollow wakaniblock kwakuwa siwezagi kusifia ujinga
 
- Uongo ukiandikwa sana unageuka kuwa ukweli, so unakubali kwamba unashangilia uongo unaoujua kuwa ni uongo na wewe great thinker? Kuhusu Nasra ungetulia tu hujui anything ungejali maisha yako au unataka nikuoe wewe?

le Mutuz
Zile pumba pumba bado zipo?
 
upo umri wakuanza kuchakarika

wewe ulikua unauza sura ulaya saizi akili lazima ukurudie daaaaaaaadeeeeeki

Hao watu unaohang nao wanapesa walianza hustle mapema sana hahahahahahahah

- hahahahaha eti ulishawahi kunilipia anything kwenye maisha yangu? hahahaha pigania hali yako mimi nipo poa hahahahaha

le mutuz
 
Mashabiki wa Lemutuz wamemtaka gwiji hilo la mitandao ya kijamii kuwa makini na mrembo Hamisa Mobeto hasa kutokana na tabia yake ya mrembo huyo kutegeshea mimba kwa watu wenye ukwasi kama Lemutuz,huku wakitegemea kupata Rav4 na milioni 5 ya matumizi.
Mashabiki kadhaa walimwambia Lemutuz kuwa makini na Hamisa hasa ikizingatiwa wawili hao kuwa pamoja baada ya Lemutuz kumwagwa na mrembo Nasra International huku Hamisa akimwaga Diamond.
images
images
Ili kubwa jinga si lina miaka 66 anamgeza diamond mwenye less than 30 nonsense
 
- nilikuwepo hapa kabla hujaingia hapa kama ninaogopa ningeshakimbia hahahahaha think again, kule instagram ni business wadhamini wangu hawapendi matusi ndio maana

le Mutuz
Matusi wapi hata mtu akiwapinga hivi kawaida bila matusi yoyote mnamblock. Afadhali kidogo mange siku hizi amejirekebisha naona anavumilia hadi matusi. Lazima mfahamu hamuwezi kukubaliwa kwa kila jambo na kila mtu. Nitakupa mfano wa Mange kipindi cha kampeni alikuwa anampigia kampeni Magufuli na CCM kwa maana hii wengi aliowablock by that time walikuwa ni wale ambao walikuwa wanapingana na Magufuli na ccm. Lakini sasa yeye mwenyewe amebadilika anampinga Magufuli hivyo wengi aliowablock leo wangemuunga mkono.

Kwa hiyo jifunzeni kuwa wavumilivu wa hoja tofauti kwa sababu huwezi jua sababu ya mtu kutofautiana na wewe.
 
- hahahahaha sasa mbona alienda kumbebembeleza Mosha aniombe nimrudie? hahahahah nilimuambia ukipata mamen kama mimi in your life niambie nikulipie harusi chezeya mgogo wewe hahaha, sasa nakula maisha tu wabebezzz kibao U know

le Mutuz
Hovyooo...wacha nicheke tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jitu zima linajisifia wabebez..mxiuu
 
Hovyooo...wacha nicheke tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jitu zima linajisifia wabebez..mxiuu

- hahahahaha kazi na wabebezzzz ni muhimu sana unaweza kuwa na mapesa ukikosa mbebezzz ni noma sana

le Mutuz
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom