Voxy imechoka kweli! Halafu Jamaa anaishi down town apartment!!Tena VOXY imechokaaa imepigwa pasi anashindwa hata kuludishia rangi mkono mmoja ha ha ha ha ha ha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Voxy imechoka kweli! Halafu Jamaa anaishi down town apartment!!Tena VOXY imechokaaa imepigwa pasi anashindwa hata kuludishia rangi mkono mmoja ha ha ha ha ha ha
Kwasababu umri wake na akili havifananiKwa nini watu hawapatani na Le mutuz?
Akionekana anapigwa maneno hatar tuambiane alichofanya
Yaani hapa lemutuz anatamani ingekuwa Instagram angewablock wote.
Hivi lemutuzi kwanini wewe na dada yako mange hamuishi kuwablock watu wanaotofautiana na nyie kimtazamo? Nia yenu ni kufuga nyumbu wasiowapinga?
upo umri wakuanza kuchakarika- kwani kuna urmi wa kuwa na ofisi kumbe? hahahahahahhahaa
le Mutuz
Huyu Bora abakie kuwa sehemu YA kurefresh mind kwa wana jf.... Kwa sababu kwenye thread zake hakuna jipya zaidi YA kutaniana na kumuwekea mizaa huyu babu yetu wa kigogo... Le mutuz babu mtoto wangu Ana wa miaka mitatu akimuona atamuita babu...kwanini W. J. Malecela asifanyiwe interview na DJ Sepetu
kuna mambo mengi tungependa kuyajua kwa huyu kubwa jinga
Hao wote akili zao zinafanana, hawape di kufuga akili kubwa kwenye account zao, wote hao niliwahi kuwafollow wakaniblock kwakuwa siwezagi kusifia ujingaYaani hapa lemutuz anatamani ingekuwa Instagram angewablock wote.
Hivi lemutuzi kwanini wewe na dada yako mange hamuishi kuwablock watu wanaotofautiana na nyie kimtazamo? Nia yenu ni kufuga nyumbu wasiowapinga?
Huuu ujumbe nampelekea Mange sawa Le Mpumbuz, leo usiku angalia account yake ya instagram
Zile pumba pumba bado zipo?- Uongo ukiandikwa sana unageuka kuwa ukweli, so unakubali kwamba unashangilia uongo unaoujua kuwa ni uongo na wewe great thinker? Kuhusu Nasra ungetulia tu hujui anything ungejali maisha yako au unataka nikuoe wewe?
le Mutuz
upo umri wakuanza kuchakarika
wewe ulikua unauza sura ulaya saizi akili lazima ukurudie daaaaaaaadeeeeeki
Hao watu unaohang nao wanapesa walianza hustle mapema sana hahahahahahahah
Ili kubwa jinga si lina miaka 66 anamgeza diamond mwenye less than 30 nonsenseMashabiki wa Lemutuz wamemtaka gwiji hilo la mitandao ya kijamii kuwa makini na mrembo Hamisa Mobeto hasa kutokana na tabia yake ya mrembo huyo kutegeshea mimba kwa watu wenye ukwasi kama Lemutuz,huku wakitegemea kupata Rav4 na milioni 5 ya matumizi.
Mashabiki kadhaa walimwambia Lemutuz kuwa makini na Hamisa hasa ikizingatiwa wawili hao kuwa pamoja baada ya Lemutuz kumwagwa na mrembo Nasra International huku Hamisa akimwaga Diamond.
![]()
![]()
si omba omba kwa akina bashite hahahahahaha- hahahahaha eti ulishawahi kunilipia anything kwenye maisha yangu? hahahaha pigania hali yako mimi nipo poa hahahahaha
le mutuz
Matusi wapi hata mtu akiwapinga hivi kawaida bila matusi yoyote mnamblock. Afadhali kidogo mange siku hizi amejirekebisha naona anavumilia hadi matusi. Lazima mfahamu hamuwezi kukubaliwa kwa kila jambo na kila mtu. Nitakupa mfano wa Mange kipindi cha kampeni alikuwa anampigia kampeni Magufuli na CCM kwa maana hii wengi aliowablock by that time walikuwa ni wale ambao walikuwa wanapingana na Magufuli na ccm. Lakini sasa yeye mwenyewe amebadilika anampinga Magufuli hivyo wengi aliowablock leo wangemuunga mkono.- nilikuwepo hapa kabla hujaingia hapa kama ninaogopa ningeshakimbia hahahahaha think again, kule instagram ni business wadhamini wangu hawapendi matusi ndio maana
le Mutuz
hivi le mutuz ukifa utazikwa mbeya au dodoma?- hahahahaha eti ulishawahi kunilipia anything kwenye maisha yangu? hahahaha pigania hali yako mimi nipo poa hahahahaha
le mutuz
Hovyooo...wacha nicheke tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jitu zima linajisifia wabebez..mxiuu- hahahahaha sasa mbona alienda kumbebembeleza Mosha aniombe nimrudie? hahahahah nilimuambia ukipata mamen kama mimi in your life niambie nikulipie harusi chezeya mgogo wewe hahaha, sasa nakula maisha tu wabebezzz kibao U know
le Mutuz
si omba omba kwa akina bashite hahahahahaha
hivi le mutuz ukifa utazikwa mbeya au dodoma?
Ili jamaa linaboa kupenda sifa kama bashite ndio maana kubwa zima lipo uvccm- Uongo ukiandikwa sana unageuka kuwa ukweli, so unakubali kwamba unashangilia uongo unaoujua kuwa ni uongo na wewe great thinker? Kuhusu Nasra ungetulia tu hujui anything ungejali maisha yako au unataka nikuoe wewe?
le Mutuz
Hovyooo...wacha nicheke tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jitu zima linajisifia wabebez..mxiuu
nimeuliza tu- duh kuzikwa kunahusu nini hasa?
le Mutuz
Ili jamaa linaboa kupenda sifa kama bashite ndio maana kubwa zima lipo uvccm