Uongo
Your browser is not able to display this video.
 
Kuna kitu kinamiss kwenye huu uzi… Habari haijakamilika hii.
 
Maridhiano yafike kila mahali, yaishe tu, kesi zenyewe ni za kisiasa mwanzo mwisho
 
Hajaachiwa mi nipo mahakamani moshi hapa
 
Nadhan saiv kanyooka ule ujinga wa Kujimwambafy umeisha kulaaleekii!!
 
Namwonea huruma kuachiliwa kwa mambo alio fanya live bila chenga tofauti na wengine wakifanya nyuma ya pazia.
Mtaani patakua pagumu kuliko gerezani nashauri walio mwachia wampe na ulinzi
 
Haya sasaivi hana polisi, hana cheo, hana Magu, hana hela, hana afya na pengine hana mirinda... bariidi
cc Wajeshi vichaa wa mbowe
 
Media za Tanzania hovyo sana watatu wanatumiana uongo uongo tu hakuna ukweli wowote Sabaya bado hajachiwa

USSR
 

Attachments

  • FB_IMG_1680695742008.jpg
    43.6 KB · Views: 2
Tunategemea kwa kuwa amekiri makosa basi asipewe kabisa cheo serikalini..awe blacklisted......na kwa kuwa amekaa jela mda sasa..basi adha ya jela...kama ki.firo n.k amekutana nayo.

Hivyo hatutegemei arudie tena makosa.
 
Ama kweli tutafute sana hela na ikishindikana basi tutafute ata connection za grade za Taifa

Maana haya maisha hayajawahi kuwa Fair ata siku moja, Ambao hawana HATIA siku zote wanaozea JELA

NB: sijasema jamaa Ana HATIA
Ushauri wako nimeuelewa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…