Lengai Ole Sabaya aachiwa Huru kwa sharti la kutofanya kosa la Jinai kwa kipindi cha mwaka mmoja
Bado Safari ni ndefu sana kama taifa katika mifumo ya haki na sheria. Aliyepatikana na kesi ya ugaidi na mahakama aliachiwa huru. Huyu naye baada ya kuhukumiwa miaka 30 jela naye kaachiwa huru. Nchi ya hovyo sana hii.
Unaumia?
 
Hakika MAAJABU yapo TANZANIA.Nimeshtushwa sana kusikia SABAYA Kaachiwa HURU baada ya KUKIRI MAKOSA likiwemo la KUTUMIA SILAHA ktk UPORAJI wake na kufanya PLEA BARGAINING na DPP.
MAKOSA kama yakutumia SILAHA ni Makosa Mazito sidhani kama ni sahihi WAHUSIKA wanapaswa kuyahusisha ktk PLEA BARGAINING.Kufanya hivyo tutarajie MAJAMBAZI wote watakiri MAKOSA kwa kufanya PLEA BARGAINING na kurudi tena URAIANI kuendeleza UJAMBAZI wa KUTUMIA SILAHA.
20230405_152145.jpg
 
Kabisa Kaka sasa kama ni hivi, waachie wafungwa wote. Tuanze upya.
Kuna mambo yanafanyika hii nchi ni ya aibu. Mahakama inaingiliwa na watawala... tujifunze kwa wenzetu, Mahakama ni Muhimili kamili hautakiwi kuingiliwa kwa namna yoyote.
Mnaumia?
 
We share the same feelings, huyu atakutana na mahakama ya gachacha.
Mkiweka ligi ya kuwindana kitaa, amini kwamba kuna wengi aliowakosea ambao hawana uwezo wa match naye kijasusi na kiuchumi, hapo mnakuwa mnatengezeza kitu inaitwa "mwenye nguvu ammalize asiyenazo"


Wengi hawawezi kuendana na huo mfumo na wataumia wao sio Sabaya.


Kikubwa ni tujue kwamba mifumo ya kisheria kwa hapa nchini, ipo kwaajili ya wasionazo pesa.
 
Tunataka ingizo jipya
Sasa watuhumiwa wa CAG ndio wanafuata
Huyu inatosha
Tanzania nchi yangu, mama tanzania
 
Back
Top Bottom