Kwa hiyo na Mbowe naye walimtoa marindaKatoka jela wamemtoa marinda, anarudi mtaani wabaya wake wanamtamani wamalizie walipoishia manyampara...
Mbona Makonda yupo na anadunda?Awe makini mtaani ni hatari kwake kuliko huko lupango Anaweza kutana na kisasi
Hiyo ni namna na wao kupata fedha kwa fake news but which draws a massHahahaha nimeona live kwa miradi,bongo sio kabisa wanatumiana tu wamekaa bar
USSR
Angalia utageuziwa kibaoHuyu akiachiwa tunakuja kumfi.ra huku mtaani.
Unaumia?Bado Safari ni ndefu sana kama taifa katika mifumo ya haki na sheria. Aliyepatikana na kesi ya ugaidi na mahakama aliachiwa huru. Huyu naye baada ya kuhukumiwa miaka 30 jela naye kaachiwa huru. Nchi ya hovyo sana hii.
Umejibu kinyonge sanaHili ni kosa kubwa sana
Mnaumia?Kabisa Kaka sasa kama ni hivi, waachie wafungwa wote. Tuanze upya.
Kuna mambo yanafanyika hii nchi ni ya aibu. Mahakama inaingiliwa na watawala... tujifunze kwa wenzetu, Mahakama ni Muhimili kamili hautakiwi kuingiliwa kwa namna yoyote.
Team gaidi mtanyooka tu!Huu ndiyo habari ya sasa.
Aliowajeruhi na kupora imekula kwao. Nchi hii Mungu aiangamize
Mkiweka ligi ya kuwindana kitaa, amini kwamba kuna wengi aliowakosea ambao hawana uwezo wa match naye kijasusi na kiuchumi, hapo mnakuwa mnatengezeza kitu inaitwa "mwenye nguvu ammalize asiyenazo"We share the same feelings, huyu atakutana na mahakama ya gachacha.
We ndio umesoma kinyongeUmeandika kinyoonge sana!
Naona jinsi ulivyofuraHaya ndio maridhiano Sasa?! Maamae. Na Bunge linampongeza Rais?! Sijui kwann sipati nafasi ya kula hela za makima Watanzania?! Hakuna anaye yajali na hayajijali.
Lema huyu huyu mwenye laana?Jambazi limeshanyooshwa na kushikishwa adabu, sasa huku mtaani tutamalizana naye wenyewe kama vyombo vya sheria vimeshindwa kutenda haki dhidi ya ujambazi wote aliofanya na mateso aliyotesa watu.
Na hii yote ni sababu ya Lema kulitetea hili jambazi.
Naona tu Chadema wamenuna labda itakuwa kweli πππHivi ni kweli huyo mjomba wako ameachiwa huru bwashee?
Kwa kauli hii, unaamini kuwa Mbowe pia alinye ndoo ile miezi nane aliyokaa gerezani?Aibu ya nini wakati amenyea ndoo muda wa kutosha!! Shule imeshamuingia tayari!