Hongera sana Sabaya Mungu ni mkubwa sana sasa upo mtaani waliokufitini wataona aibu kubwa sana


USSR
Haiondoi ukweli kwamba Ni mhalifu na alitenda watu unyama mwingi. Muuuaji yule!
 
Hongera sana Sabaya Mungu ni mkubwa sana sasa upo mtaani waliokufitini wataona aibu kubwa sana


USSR
CCM huwa hawafungani jela Ila wanatiana Jamba Jamba tu.

Serikali ya CCM imfunge mwanaccm mwenzako, watakuwa wamerogwa.

CCM wanajuana. Hapo utakuta Ni order imetoka juu, afutiwe mashtaka yake.
 
Halafu mvuta joint na mwizi wa kuku wanaozea jela

Jambazi Mkuu wa Wilaya anasamehewa ili aje kupumzika na mastupid huku uraiani.
Anarudi kufurahia mabilioni yake.

2025 Ni mgombea ktk Jimbo fulani, na atapita bila kupingwa.
 
Anarudi kufurahia mabilioni yake.

2025 Ni mgombea ktk Jimbo fulani, na atapita bila kupingwa.
Hio inaonyesha kwamba Watanzania tuko peke yetu hakuna pa kukimbilia ili kupata justice.
 
Me naona bora tu ameachiwa kwasababu washirika Wake hawapo hatiani na serikali haiwagusi kwani wapo juu ya sheria..
So It didn’t make sense kumshikilia mmoja na kuacha kundi lake. Nonsense!
Sheria ni upanga ingetaka kote kote, anyway wenye nchi waendelee kula tunu za Taifa.. wengine tuendelee kulalamika Jamiiforum na kwingineko huku tukipambana kutafuta mkate wenetu wasitie huzuni [emoji205][emoji1466]‍🦯[emoji81]
 
Ibada ya kushinda kesi ya mchongo, mbowe yeye aliombewa msamaha na akina ZITTO waliolamba asali.
Hajashinda kesi yoyote mbwa wewe,amekiri na kulipa,Mbowe hakulipa chochote kwa kuwa hakukutwa na hatia na mahakama, hebu kaoge mtoni ukalale pimping wewe
 
Mbona gaidi yeye Bado nikiongozi wakoo?
 
Unajua maana ya please bargain? Amekiri na kulipa shilingi milioni 5,jinga wewe
 
yale mabwabwa yake yamepata aibu baada ya yeye kukir makosa wakati wakati yenyewe huwa yanasema anaonewa.
 
Ameshinda kesi?
Mkuu ungenyamaza tu wetu wasingejua umjinga,ameshindaje ikiwa amekiri makosa na kupelekea pleabargain ifanye kazi?


Sent from my Nokia 1.4 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…