Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 12,340
- 16,383
Sabaya ni jambazi,na amekiri hilo,nyie ni nani mumtetee? Nyie ni wake zake?Gaidi Mbowe, jambazi Lema??.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sabaya ni jambazi,na amekiri hilo,nyie ni nani mumtetee? Nyie ni wake zake?Gaidi Mbowe, jambazi Lema??.
Kweli,sasa afanye tu ujambazi wake bila kuihusisha serikali, huku tunammudu,kule alitusumbua kwa kuwa alikuwa na mbeleko ya mwenzake maguAachane na mambo ya siasa, afanye vitu vingine
Haiondoi ukweli kwamba Ni mhalifu na alitenda watu unyama mwingi. Muuuaji yule!Hongera sana Sabaya Mungu ni mkubwa sana sasa upo mtaani waliokufitini wataona aibu kubwa sana
USSR
CCM huwa hawafungani jela Ila wanatiana Jamba Jamba tu.Hongera sana Sabaya Mungu ni mkubwa sana sasa upo mtaani waliokufitini wataona aibu kubwa sana
USSR
Anarudi kufurahia mabilioni yake.Halafu mvuta joint na mwizi wa kuku wanaozea jela
Jambazi Mkuu wa Wilaya anasamehewa ili aje kupumzika na mastupid huku uraiani.
Hio inaonyesha kwamba Watanzania tuko peke yetu hakuna pa kukimbilia ili kupata justice.Anarudi kufurahia mabilioni yake.
2025 Ni mgombea ktk Jimbo fulani, na atapita bila kupingwa.
We bwege,sabaya hajashinda kesi,amekiri na kakubali kulipia maovu yake,sijui we nawe ni mpumbavu wa wapi?Acha longolongo SABAYA ameshinda kesi, mbowe alisamehewa na ikulu kinyume na sheria, ok
Hajashinda kesi yoyote mbwa wewe,amekiri na kulipa,Mbowe hakulipa chochote kwa kuwa hakukutwa na hatia na mahakama, hebu kaoge mtoni ukalale pimping weweIbada ya kushinda kesi ya mchongo, mbowe yeye aliombewa msamaha na akina ZITTO waliolamba asali.
Mbona gaidi yeye Bado nikiongozi wakoo?Nyie ni majinga kabisa,huyu jambazi amekiri na amekubali kulipa plea bargains, maana yake ni mtu asiyeaminika na wala si mtu sahihi kupewa madaraka yoyote tena,cha kushangaza ni kuwa amekiri kupora milioni 50 halafu anaambiwa amlipe aliyempora shilingi milioni 5 tu,hizo 45 huyu mhanga anazipataje?
Unajua maana ya please bargain? Amekiri na kulipa shilingi milioni 5,jinga weweKabla sijaju nilikuwa nashangaa kwa nini wakazi wa wilaya ya Hai hapa Bomang'ombe wamelipuka kwa shangwe namna hii, kumbe dakika chache zilizopita mahakama ya wilaya ya Arusha imemwachia huru kijana mchapakazi na aliyeikomboa wilaya ya Hai kutoka kwenye makucha ya wauza madawa ya kulevya Lengai Ole Sabaya ameachiwa huru!
Mahakama imemsafisha Sabaya kuwa ni kijana safi asiye na kosa lolote na aende kuendelea na shughuli zake ikiwemo kutimiza ndoto yake ya kuwa mbunge wa wilaya ya Hai.
yale mabwabwa yake yamepata aibu baada ya yeye kukir makosa wakati wakati yenyewe huwa yanasema anaonewa.Duh, at last.
Lesson learnt the hard way.
Viongozi wengine mjifunze... power is no permanent and is always shifting... just eat your cake and behave.
Ule ujinga aliokuwa anaf1anya nadhan amepata fundisho maisha yake yote.
But... one thing.
Sheria ni za watu masikini?
Ukate watu masikio na miguu, upige watu, upore mali za watu na bado unaambiwa upo huru....
Wewe Kulwa Jilala na USSR ninamashaka na uraia wenu,Timu gaidi watanyooka tu wasiyempenda anakuja
basha lako limekir makosa leo litakushughulikia japo hata lenyewe si riziki tena.Mbona gaidi yeye Bado nikiongozi wakoo?
Wakili msomi amesema Lengai Ole Sabaya baada ya kuachiwa huru na mahakama ,sasa kisheria yuko huru kugombea na kushinda kuwa mbunge wa Hai au kuteuliwa kuwa kiongozi yoyote.
Sabaya kisheria hana kikwazo chochote cha kuwa kiongozi.View attachment 2577499
mashoga ya sabaya basha lenu limekir makosa kwasasa lina criminal record.Kuna gaidi tuliliachia likaitwa kwenda ikulu
USSR
Plea bargain.Hongera sana Sabaya Mungu ni mkubwa sana sasa upo mtaani waliokufitini wataona aibu kubwa sana
USSR
Si kwamba nyie ndo mtafanyizia? Wabongo maneno meengi ati aombe asije uraiani, huyo sasa.Bila Madaraka hasa Polisi hana umafia, wowote,aanze ujinga wake aone