Una akili sana bro. Na wabongo tunavyopenda kuendeshwa na matukio tayari tutasahu ya CAG na kuanza kumuongelea bwana jambazi, mwizi, muuaji.
 
Bila adhabu vipi na kahukumiwa mwaka mmoja na kulipa fine

Sema mwaka wake anautumia nje kwenye shughuli za kijamii
 
Nchi imefunguliwa jamani🤣🤣🤣🤣
 
Bila adhabu vipi na kahukumiwa mwaka mmoja na kulipa fine

Sema mwaka wake anautumia nje kwenye shughuli za kijamii
Usengemwingi Qmanyoko yaan kumaanisha kwamba ? Polepole akasome Cuba ?
 
Kama kweli ,kizimba ninoma HAKIMu anatoa nafasi ya kujitetea ,anataja sababu ndoa!!! Kweli
 
Aliyewahi Kuwa mkuu wa Wilaya ya Hai mh Lengai Ole Sabaya amehukumiwa Kifungo cha Nje cha Mwaka mmoja baada ya kukiri makosa na kuomba mahakama imwangalie kwa jicho la huruma

Source ITV Habari
Huu ni udhaifu mkubwa wa mahakama zetu na pia ni dharau kwa watanzania!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…