Lugoda lwa chuma
JF-Expert Member
- Mar 21, 2023
- 202
- 379
Now atakua mwalimu mzuri wa somo la karma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
#Ualimuphobia is eating youMAADAM SIYO MWALIMU MIMI SINA SHDA ANGEKUWA MWALIMU NGEPINGA
KATAAA UALIMU
Alikuwa anakumbuka password ya twitter.. aoe sasa... maana alikuwa analia kumuacha mchumba wetu uraiani
Mungu huyo atakuwa mjinga kupambania majangili, wezi, wauwaji.Mungu wa Israel aendelee kukupambania Kaka
Una akili sana bro. Na wabongo tunavyopenda kuendeshwa na matukio tayari tutasahu ya CAG na kuanza kumuongelea bwana jambazi, mwizi, muuaji.Ilibid atolewe muda mrefu tu, kesi imepigwa sana tar ili kusubiri report ya CAG, Moto bungeni na mtaani umeanza kuwaka ndo wameona wamtoe ili tusahau report, kesho vyombo vyote vya habari ni kuhusu jamaa
Ametolewa leo ili kuficha madudu report ya CAG
😆😆😆HatariiiiiiiView attachment 2577695
Ndo maanake sasa anatakiwa kupangiwa zamu za kudeki vyoo vya umma..Kwahiyo kumbe ni mfungwa hapo alipo
Usengemwingi Qmanyoko yaan kumaanisha kwamba ? Polepole akasome Cuba ?Bila adhabu vipi na kahukumiwa mwaka mmoja na kulipa fine
Sema mwaka wake anautumia nje kwenye shughuli za kijamii
Huu ni udhaifu mkubwa wa mahakama zetu na pia ni dharau kwa watanzania!Aliyewahi Kuwa mkuu wa Wilaya ya Hai mh Lengai Ole Sabaya amehukumiwa Kifungo cha Nje cha Mwaka mmoja baada ya kukiri makosa na kuomba mahakama imwangalie kwa jicho la huruma
Source ITV Habari
Hili halina akili hapo limetoka kwa plea bargain na ni mfungwa wa nje kwa mwaka mzima..anaanza kutonesha vidonda ..
Hana sifa ya kuwa kiongozi wa Serikali na hata kwenye Taasisi za Umma.Kuhukumiwa kifungo si inamaanisha kakutwa na hatia. Sasa wakili wake alikuwa anaongea upuuzi gani kuwa Sabaya anaweza kugombea nafasi za uongozi ikiwa tayari ni muhaini.