Bwashee mshauri Saa Mbaya ajipoteze tu kama Bashite. Hana ramani tena kwenye siasa ashukuru tu Mungu saivi nyapara hampapasi tena kalio.
 
Hata Mbowe aliachiwa!
 
Tatizo ni CCM nawaomba ndugu zangu Watanzania tuende kuikataa kwenye Ballot.
 
duh imewauma. Vumilieni tu maana hata gaidi alipoachiwa kuna watu waliumia pia
 
And you won't see anybody doubts on that, they are busy with SIMBA and Yanga.

Kiufupi hakuna mhimili wa mahakama, ni spika tu ya executive ndiyo iliyopo. Rais anashitaki na kusamehe atakavyo bila tatizo.
 
Kifungo cha nje siyo msamaha!
 
Sitashangaa kumsikia Bwana mdogo naye akianza kumkandia Hayati JPM, na kugeukia kumsifia anayeupiga mwingi hadi unamwagika!
Life is not fair sometimes!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…