Lengai Ole Sabaya aachiwa Huru kwa sharti la kutofanya kosa la Jinai kwa kipindi cha mwaka mmoja
aliumwa sana huko selo wamekaonea huruma, sasa awe na adabu asijidai mhuni mtoto wa mjini na akapigie magoti woote alowadhuru kwa nguvu ya kacheo alichokuwa nacho.
Awez dai fidia serikalino maana ameomba poo!! Vijana wapenda sifa na vyeo mjifunze
 
For any one who believes kuna mahakama huru Tanzania, anapaswa akapimwe.this country is rotten to the core...I am not here to argue kama Ole Sabaya ana hatia au la,lakini ebu imagine kuishi kwenye nchi ambayo unaweza ukafungwa muda wowote kwa kosa lolote na wenye mamlaka.. Au mamlaka ikamwaachia mfungwa yoyote mwenye kosa lolote akarudi uraiani.

Yani so called 'child predators' waliopewa kifungo cha maisha waliachiwa awamu iliyopita, 'waporaji/majambazi' kama Sabaya wanafungwa vifungo vya nje, 'magaidi' kama kina Mbowe wanafunguliwa kesi na kusamehewa na kurudi kwenye majukwaa ya siasa kimasikhara, 'mafisadi' wanapewa adhabu za kufagia hospitali baada ya kusamehe Kodi za serikali Bil. 12,huku wezi wa Kuku wakifungwa miaka 3+...what is what?

Hawa jamaa wanatengeneza narrative Kila siku wakijua zile za nyuma tushasahau..alafu mijitu inasema katiba mpya ndio suluhisho..Suluhisho Gani wakati itaendelea kusimamiwa na judicial system ileile.
Tuendelee kuimba bia tamu..anyway silaumu Sana ,our average iq is 71

Katiba mpya sio suluhisho, suluhisho is mind your own business, lea watoto, mche Mungu, ngoja siku ziishe uende kwa Baba.
 
Sheria ziko kwa ajili ya maskini na wasio na connection.
Huyu si alipoka watu hela kutumia silaha. Kuna jambazi anaye fanyiwa plea bargaining?
Watu walioghushi invoice ya air Tanzania wako ofisini, watu walio iba mabilioni wanazidi kusifiwa.
Walio umizwa na Sabaya unadhani wanajisikiaje????
 
Kuhukumiwa kifungo si inamaanisha kakutwa na hatia. Sasa wakili wake alikuwa anaongea upuuzi gani kuwa Sabaya anaweza kugombea nafasi za uongozi ikiwa tayari ni muhaini.
Sabaya siyo muhaini mkuu, uhaini ni moja ya capital offences nchini, kosa ambalo adhabu zake ni nzito kwelikweli, na kesi ya mtuhumiwa wa makosa ya namna hii huwa inaendeshwa kwa umakini wa hali ya juu.

Labda useme tu kwamba Sabaya hastahili kugombea nafasi za uongozi kwasababu ana criminal record (rekodi ya kihalifu) ambayo huwa inam-disqualify mtu kugombea nafasi kadha wa kadha, ingawa Sabaya kupitia kwa Mawakili wake anaweza kukata rufaa Ili Mahakama ya juu itazame kwa upya kama kweli alikuwa na hatia na alistahili adhabu hiyo, Mahakama ya rufaa (ya juu) ikitengua kosa na adhabu basi Sabaya anaweza ku-qualify tena. The same was done by Sugu.

Kwa sasa ni hayo tu.
 
Mbona Mbowe alikuwa na kesi ya ugaidi na akaachiwa?
Kwa brain yako mbowe anaweza kuwa ghaidi?, huyo jamaa amesababisha vilema, watu wameibiwa wameporwa vilio mpaka kesho vimetamalaki kila Kona, WALIOUMIZWA NA HUYU NDUGU NA KUSABABISHIWA ULEMAVU WASIKAE KIMYA.
 
Makamanda wa ufipa wanamuogopa sana General Sabaya
 
Hili linafikirisha sana, bora hata angemlipa hiyohiyo 50 bila ya fidia. At least that would've been sensible smh.
Ni kwamba labda Swai alikuwa anadaiwa kodi halali ya serkali na labda alikwishailipa? Hiyo 5m ni kifutajasho usumbufu kwa kiasi kilichopitiliza?
 
Mahakama imemwachia huru Sabaya ambaye ametufanyia uovu mkubwa ikiwapo kutunyang’anya fedha kwa mabilioni. Hatujaridhika na uamuzi huu na tutamhukumu Sabaya kwa sheria zetu katika mahakama zetu zilizotapakaa nchi nzima.
 
Back
Top Bottom