Kukutwa na kesi ya kujibu sio kuhukumiwa Wewe kilaza
Mara ngapi watu hukutwa na kesi ya kujibu kisha kupangua mashtka?
Vipi mbona mbowe alihukumiwa kbs ile ya akwilina na akakata rufaa na kushinda sembuse procédure ya kukutwa na kesi ya kujibu?
Mbowe alipokutwa na kesi ya kujibu alipangua mashitaka?
 
Kama mboww tu alivyonyooka baada ya kuonewa huruma
Anyooke tena wakati hata mkuu amehitaji maridhiano na kuridhia yote 🤣🤣🤣!! Sas mhalifu wenu sabaya mnamlinganisha na Mbowe!! Mi sio mshabiki wa Mbowe lkn Mbowe yupo another milestone kuliko mhujumu uchumi!!
 
Umeporwa ?umekatwa miguu?umepigwa?Kuna Ndugu zako wamefanyiwa haya ?au na wewe ni kundi la watu wanaosema Kwakuwa walisikia?
 
Kwahiyo Sabaya alikaa remanded kwakuwa alikosa ugali kwao
Hauwezi kubaka watu ukaachwa huru hauwezi kuvunja miguu ya watu ukaachwa huru,hauwezi kupora vitu vya watu ukaachwa huru,waliomkamata yamkini wamesikia kama wewe
 
Wameshindwa kumfunga miaka 30

Hakutetewa na mabeberu wala viongozi wa dini

Adhabu yenyewe ya kukiri ni milioni 5 , lakini tuliambiwa ujambazi alioufanya ni wa mabilioni ya fedha!

Unaweza kumwibia mtu milioni 500 alafu akubari ukiri umpe milioni 5 yaishe?

#usaniii
 
..kesi ya Sugu haikuwa ya jinai.

..kwa kumbukumbu zangu ilikuwa kesi ya uchochezi.

..labda tuwaombe wanasheria Pascal Mayalla , na Petro E. Mselewa wafafanue Sugu aliweza vipi kurudi bungeni pamoja na kukutwa na hatia.
1. Kosa la uchochezi ni kosa la jinai, hivyo kesi ya uchochezi ni kesi ya Jinai.
2. Ili kupoteza sifa za kugombea ubunge ni lazima ukutwe na hatia na kuhumiwa kifungo cha jela kinachozidi miezi 6 jela.
3. Mtuhumiwa anayekiri kosa kwa plea bargain au kifungo cha nje kiahesabiwa sio kifungo cha jela hivyo anaruhusiwa kugombea ubunge.

Mfano mzuri ni Mbunge wa Njombe, Mhe. Deo Mwanyika alikuwa na kesi ya uhujumu uchumi, akakaa mahabusu miaka 4, akakiri kosa, akalipa faini na kuachiwa huru sasa ni Mhe. Mbunge.

P
 
Tunawalaani wote wanaomuunga Sabaya mkono! Tunawalaani wote kwa kuuunga mkono unyanyasaji, uonevu na dhuluma za Sabaya akitumwa kufanya hivyo na Magufuli ambaye tunamshukuru Mungu alishaamua haki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…