Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Miaka mitatu ya wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sahih kbsaaMungu wa Israel aendelee kukupambania Kaka
Samia naye amebariki tena huu upuuzi wa Plea bargaining ?Haki imeshinda kivipi wakati ni plea bargaining imefanyika
Kama mboww tu alivyonyooka baada ya kuonewa hurumaHopefully amenyooka kisawaswa, hawez jiingiza kweny uvunjaji wa sheria tena!!!
Mbowe alipokutwa na kesi ya kujibu alipangua mashitaka?Kukutwa na kesi ya kujibu sio kuhukumiwa Wewe kilaza
Mara ngapi watu hukutwa na kesi ya kujibu kisha kupangua mashtka?
Vipi mbona mbowe alihukumiwa kbs ile ya akwilina na akakata rufaa na kushinda sembuse procédure ya kukutwa na kesi ya kujibu?
Anyooke tena wakati hata mkuu amehitaji maridhiano na kuridhia yote 🤣🤣🤣!! Sas mhalifu wenu sabaya mnamlinganisha na Mbowe!! Mi sio mshabiki wa Mbowe lkn Mbowe yupo another milestone kuliko mhujumu uchumi!!Kama mboww tu alivyonyooka baada ya kuonewa huruma
Umeporwa ?umekatwa miguu?umepigwa?Kuna Ndugu zako wamefanyiwa haya ?au na wewe ni kundi la watu wanaosema Kwakuwa walisikia?Duh, at last.
Lesson learnt the hard way.
Viongozi wengine mjifunze... power is no permanent and is always shifting... just eat your cake and behave.
Ule ujinga aliokuwa anaf1anya nadhan amepata fundisho maisha yake yote.
But... one thing.
Sheria ni za watu masikini?
Ukate watu masikio na miguu, upige watu, upore mali za watu na bado unaambiwa upo huru....
Kwahiyo Sabaya alikaa remanded kwakuwa alikosa ugali kwaoUmeporwa ?umekatwa miguu?umepigwa?Kuna Ndugu zako wamefanyiwa haya ?au na wewe ni kundi la watu wanaosema Kwakuwa walisikia?
Hauwezi kubaka watu ukaachwa huru hauwezi kuvunja miguu ya watu ukaachwa huru,hauwezi kupora vitu vya watu ukaachwa huru,waliomkamata yamkini wamesikia kama weweKwahiyo Sabaya alikaa remanded kwakuwa alikosa ugali kwao
Muulize mbowe maana na yeye alikaa miezi 9 segereaDaaah...vp lakini mtandao pendwa utakua salama kweli. Mambo y mahabusu bhana mtihani kidogo. Kisongo.
Kama alikaza sw
Kesi ya Sugu haikuwa ya jinai?
We akili yako ina kilo ngapiWameshindwa kumfunga miaka 30
Hakutetewa na mabeberu wala viongozi wa dini....
Hata Samia aliteuliwa na Jiwe tena mchana kweupeWanaoshangilia hili ni wale maadui wa taifa(Sukuma gang) walioasisiwa na Jiwe
1. Kosa la uchochezi ni kosa la jinai, hivyo kesi ya uchochezi ni kesi ya Jinai...kesi ya Sugu haikuwa ya jinai.
..kwa kumbukumbu zangu ilikuwa kesi ya uchochezi.
..labda tuwaombe wanasheria Pascal Mayalla , na Petro E. Mselewa wafafanue Sugu aliweza vipi kurudi bungeni pamoja na kukutwa na hatia.
Tunawalaani wote wanaomuunga Sabaya mkono! Tunawalaani wote kwa kuuunga mkono unyanyasaji, uonevu na dhuluma za Sabaya akitumwa kufanya hivyo na Magufuli ambaye tunamshukuru Mungu alishaamua haki!Nyie ni watu mliokia mnakwepa Kodi, mkataka afatane na ninyi kuwaibia wananchi wanyonge, mkashindwa mkamtengenezea chain ya RUSHWA kwenye kuhakikisha mnamkomesha, leo yupo free ktk namna ambayo hamkutegemea, kumbukeni mwanasiasa na yeye hiyo ndiyo kazi na tegemeeni Kuna siku atarejea kwenye system tena yamkini ktk mamlaka makubwa tu, mtakimbilia wapi? Kesi yake mliibumba
Siyo wote walikuwa waovu, waovu ni wale Sukuma gang kama Saambaya, Bashite na the likesHata Samia aliteuliwa na Jiwe tena mchana kweupe