Lengai Ole Sabaya aachiwa Huru kwa sharti la kutofanya kosa la Jinai kwa kipindi cha mwaka mmoja
Lilikuwa n swala la muda tu Sabaya kuachiwa, ukiachana na kelele za wasiojua namna siasa za Tz zinakwenda.

Huyu jamaa, Bashiru na mwenzao Makonda ni watu waliojilimbikizia pesa nyingi wakati wa JPM, nadhani sasa ataenda kutulia ale mema ya nchi kutokana na pesa alizochuma.
Acha longolongo SABAYA ameshinda kesi, mbowe alisamehewa na ikulu kinyume na sheria, ok
 
Bado Safari ni ndefu sana kama taifa katika mifumo ya haki na sheria. Aliyepatikana na kesi ya ugaidi na mahakama aliachiwa huru. Huyu naye baada ya kuhukumiwa miaka 30 jela naye kaachiwa huru. Nchi ya hovyo sana hii.
Kabisa Kaka sasa kama ni hivi, waachie wafungwa wote. Tuanze upya.
Kuna mambo yanafanyika hii nchi ni ya aibu. Mahakama inaingiliwa na watawala... tujifunze kwa wenzetu, Mahakama ni Muhimili kamili hautakiwi kuingiliwa kwa namna yoyote.
 
Huu ndiyo habari ya sasa.

Aliowajeruhi na kupora imekula kwao. Nchi hii Mungu aiangamize
 
Lilikuwa n swala la muda tu Sabaya kuachiwa, ukiachana na kelele za wasiojua namna siasa za Tz zinakwenda.

Huyu jamaa, Bashiru na mwenzao Makonda ni watu waliojilimbikizia pesa nyingi wakati wa JPM, nadhani sasa ataenda kutulia ale mema ya nchi kutokana na pesa alizochuma.
Ushaidi uko wapi wa hizo pesa walizojirimbikizia
 
Haya ndio maridhiano Sasa?! Maamae. Na Bunge linampongeza Rais?! Sijui kwann sipati nafasi ya kula hela za makima Watanzania?! Hakuna anaye yajali na hayajijali.
 
Kabisa Kaka sasa kama ni hivi, waachie wafungwa wote. Tuanze upya.
Kuna mambo yanafanyika hii nchi ni ya aibu. Mahakama inaingiliwa na watawala... tujifunze kwa wenzetu, Mahakama ni Muhimili kamili hautakiwi kuingiliwa kwa namna yoyote.
SABAYA kashinda kesi sawa!, Mbowe aliombewa msamaha na Askofu SHOO.
 
Jela ni kwa ajili ya watu masikini. Walikuwa Wana muadabisha tu, atulie asubirie teuzi
 
Hongera sana Sabaya Mungu ni mkubwa sana sasa upo mtaani waliokufitini wataona aibu kubwa sana

USSR
Jambazi limeshanyooshwa na kushikishwa adabu, sasa huku mtaani tutamalizana naye wenyewe kama vyombo vya sheria vimeshindwa kutenda haki dhidi ya ujambazi wote aliofanya na mateso aliyotesa watu.

Na hii yote ni sababu ya Lema kulitetea hili jambazi.
 
Kabla sijaju nilikuwa nashangaa kwa nini wakazi wa wilaya ya Hai hapa Bomang'ombe wamelipuka kwa shangwe namna hii, kumbe dakika chache zilizopita mahakama ya wilaya ya Arusha imemwachia huru kijana mchapakazi na aliyeikomboa wilaya ya Hai kutoka kwenye makucha ya wauza madawa ya kulevya Lengai Ole Sabaya ameachiwa huru!
Mahakama imemsafisha Sabaya kuwa ni kijana safi asiye na kosa lolote na aende kuendelea na shughuli zake ikiwemo kutimiza ndoto yake ya kuwa mbunge wa wilaya ya Hai.
 
Back
Top Bottom