TikTok2021
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 690
- 1,060
๐๐๐๐๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha longolongo SABAYA ameshinda kesi, mbowe alisamehewa na ikulu kinyume na sheria, okLilikuwa n swala la muda tu Sabaya kuachiwa, ukiachana na kelele za wasiojua namna siasa za Tz zinakwenda.
Huyu jamaa, Bashiru na mwenzao Makonda ni watu waliojilimbikizia pesa nyingi wakati wa JPM, nadhani sasa ataenda kutulia ale mema ya nchi kutokana na pesa alizochuma.
Kabisa Kaka sasa kama ni hivi, waachie wafungwa wote. Tuanze upya.Bado Safari ni ndefu sana kama taifa katika mifumo ya haki na sheria. Aliyepatikana na kesi ya ugaidi na mahakama aliachiwa huru. Huyu naye baada ya kuhukumiwa miaka 30 jela naye kaachiwa huru. Nchi ya hovyo sana hii.
Shenzy.Mungu ni mwema na ni wetu sote.
Karibu tena uraiani Sabaya samehe wote endelea na maisha yako usilipize kisasi Mungu unayemtumikia atafanya mwenyewe kwa wakati wake sahihi.
Ibada ya kushinda kesi ya mchongo, mbowe yeye aliombewa msamaha na akina ZITTO waliolamba asali.Jumamosi lazima ataenda kanisani kufanya ibada na kutoa shukrani
Ushaidi uko wapi wa hizo pesa walizojirimbikiziaLilikuwa n swala la muda tu Sabaya kuachiwa, ukiachana na kelele za wasiojua namna siasa za Tz zinakwenda.
Huyu jamaa, Bashiru na mwenzao Makonda ni watu waliojilimbikizia pesa nyingi wakati wa JPM, nadhani sasa ataenda kutulia ale mema ya nchi kutokana na pesa alizochuma.
SABAYA kashinda kesi sawa!, Mbowe aliombewa msamaha na Askofu SHOO.Kabisa Kaka sasa kama ni hivi, waachie wafungwa wote. Tuanze upya.
Kuna mambo yanafanyika hii nchi ni ya aibu. Mahakama inaingiliwa na watawala... tujifunze kwa wenzetu, Mahakama ni Muhimili kamili hautakiwi kuingiliwa kwa namna yoyote.
Mbowe kashindwa kuwasamehe Akina Mdee?.Huu ndiyo habari ya sasa.
Aliowajeruhi na kupora imekula kwao. Nchi hii Mungu aiangamize
But in all honesty, sio kwamba nasupport kulipiza kisasi but nani angetakiwa aombwe asilipize kisasi?meza wembe
Sabaya ndo huyo yuko huru ๐
SABAYA hajapatikana na hatia wala hajaombewa msamaha na walamba asali akina ZITTO au Askofu Shoo. Mwana ume ni kushina kesi sio kulamaba asali ikulu. OkHili ni kosa kubwa sana
Jambazi limeshanyooshwa na kushikishwa adabu, sasa huku mtaani tutamalizana naye wenyewe kama vyombo vya sheria vimeshindwa kutenda haki dhidi ya ujambazi wote aliofanya na mateso aliyotesa watu.Hongera sana Sabaya Mungu ni mkubwa sana sasa upo mtaani waliokufitini wataona aibu kubwa sana
USSR
visasi ni juu ya Mungu wewe mwanadamu dhaifu tulia, tunasheherekea uhuru wa Sabaya.But in all honesty, sio kwamba nasupport kulipiza kisasi but nani angetakiwa aombwe asilipize kisasi?