Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa atamfanyia kiburi nani wakati jamaa yake kashadedi? Hawa wasasahivi watamtia ndani tena akileta upuuzi wakeHivi unajua Kiburi cha Kimasai wewe
Hongera SANA kwake. Ajenge sasa TaifaNakushauri Sali sana halafu waepuke Marafiki wapya utakaowapata saaa ( baada ya kuachiwa Huru huko ) kwani wengi Wao ni Watu wa Mkakati Wanaotaka kumaliza Shughuli mapema kwani inasemekana una Kinyongo, Hasira na una Mambo unataka kutuwekea Huru juu ya yaliyokukuta.
Gaidi! Nimesema hivii, hiyo kauli yangu itaishi. Chuga sio mchezo mchezo. Mtumishi gani wa umma unakutwa na mizigo ya pesa tena cash nyumbani? Alipata wapi kama sio mwizi? Mahakama imeshaamua lakini kila mtu anajua Sabaya ni jambazi na mwizi. Haki itapatikana kwingine kama mahakamani imekosekana. Tuupe muda nafasi.Mbona Gaidi hujampiga chuma?
Akaje Taifa SASAAliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya, ambaye amekuwa akikabiliwa mashtaka saba ikiwemo uhujumu uchumi, matumizi mabaya ya madaraka na kuongoza genge la uhalifu leo Aprili 05, 2023 ameachiliwa huru.
Hukumu ya kuachiwa imeandikwaje? Ili tujiridhishe kama Ina mapungufu. Vinginevyo, useme bandiko lako hili ni changamsha meZa ya duara.Bongo Kila kitu maigizo
KINACHOENDELEA MAHAKAMANI MOSHI KUHUSU KUACHIWA HURU OLE SABAYA KESI ya UHUJUMU UCHUMI...Aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya, ambaye amekuwa akikabiliwa mashtaka saba ikiwemo uhujumu uchumi, matumizi mabaya ya madaraka na kuongoza genge la uhalifu leo Aprili 05, 2023 ameachiliwa huru.
View attachment 2577142
Taarifa zaidi zitakujia hapa hapa baadae.
Chanzo: Jambo TV
Mwizi mwenzenu kaachiwa mmfurahiNaipongeza saana serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia.
Wewe sio mahakama,mahakama imemuachia huru kwa sababu hana makosa wewe uneyatoa wapi na ushahidi wako uko wapi?.Duh, at last.
Lesson learnt the hard way.
Viongozi wengine mjifunze... power is no permanent and is always shifting... just eat your cake and behave...