Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani huyoAliyepatikana na kesi ya ugaidi na mahakama aliachiwa huru.
Vipi yule kijana wa Nyari jambazi wa wizi wa magari na kuondoa maisha ya watu bado anaishi?Gaidi! Nimesema hivii, hiyo kauli yangu itaishi. Chuga sio mchezo mchezo. Mtumishi gani wa umma unakutwa na mizigo ya pesa tena cash nyumbani? Alipata wapi kama sio mwizi? Mahakama imeshaamua lakini kila mtu anajua Sabaya ni jambazi na mwizi. Haki itapatikana kwingine kama mahakamani imekosekana. Tuupe muda nafasi.
Sasa atamfanyia kiburi nani wakati jamaa yake kashadedi? Hawa wasasahivi watamtia ndani tena akileta upuuzi wake
Ningekuwa moderator humu kazi yangu ingekuwa napitia comments za watu na kuwatoa kwenye hili jukwaa wajinga wajinga ningeanza na wewe,Mana unaandikaga ujinga sana alafu ueleweki na unajaza tu saver.Akafunge ndoa Sasa akafuge na ngombe kama wamasai wengine. Asahau vya kidimbwi
Huyu tunamsubiri mtaani tumtie mimba!Kuna gaidi tuliliachia likaitwa kwenda ikulu
USSR
Hamnaa kitu mnajifariji tu kajaribu uone kitachokupata.Huyu tunamsubiri mtaani tumtie mimba!
Ameachiwa na mahakama ,hajatoka kwa mbeleko ya mtuWaliotaka kumpa fundisho nahisi kalipata sasa
Humjui Makonda na maisha yake uraiani, moja kati ya watu waliochuma pesa za kutosha kwenye ule utawala basi ni Makonda na Bashiru.Afadhali sabaya kaingia jela kamalizana na walimwengu ataishi kwa amani...
Kuliko makonda anayeishi kwa mashaka mtaani hana furaha maisha yamesimama...
Hakuna fitna alipelekwa ajifunze maisha na kuheshimu wakubwa.Hongera sana Sabaya Mungu ni mkubwa sana sasa upo mtaani waliokufitini wataona aibu kubwa sana
USSR
Baada ya shurba aliyopata sasa hivi atakuwa anaamkia hata paka akipishana nae.At his age I think now he is matured on misguided