Twilumba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 12,576
- 14,522
Leo naona utaoga mtakesha Bar!Gaidi Mbowe, jambazi Lema??.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo naona utaoga mtakesha Bar!Gaidi Mbowe, jambazi Lema??.
Lete uthibitisho unaaonyesha alikua anawakata masikio. Poor brain.Kama anayo hekima japo ya kizibo cha soda, aende kwa aliowapigilia misumari na kuwakata masikio, akawaombe msamaha.
Halafu afanye tafakari kwa nini shetani alifanya makao katika nafsi yake. Aliweka mazingira gani hata yakawa kichocheo cha kuona kwenye nafsi yake ndipo mahali salama pa kuishi...
Once upon a time my pastor told me that "my dear brother in this world where we are living, there is no right. So if you will be wasting your time waiting for your right....absolutely you will regret for the resources that you will lose especially time".Duh, at last.
Lesson learnt the hard way.
Viongozi wengine mjifunze... power is no permanent and is always shifting... just eat your cake and behave...
Nikikuuliza ulete ushahidi ambao ni direct juu ya wale waliotukanwa "stupid" na SSH juu ya upotevu wa Mabillion ya pesa kulingana na report ya CAG, unaweza kunipa?Ushaidi uko wapi wa hizo pesa walizojirimbikizia
Popoma una I'd ngapi humu?[emoji1]SABAYA kashinda kesi sawa!, Mbowe aliombewa msamaha na Askofu SHOO.
Huyo ni mafia akiwa uraiani, hizi comments za hapa Jf zisiwafanye muone maisha ni mepesi hivyo.Nawasihi wale waliodhulumiwa haki zao na huyu jambazi ndio muda wa kumalizana nae mtaani.
Hujui maana ya kuwa huru ila huna uwezo wa kuinjoi maisha pamoja na pesa au utajiri ulionao...Humjui Makonda na maisha yake uraiani, moja kati ya watu waliochuma pesa za kutosha kwenye ule utawala basi ni Makonda na Bashiru.
Yani ni sawasawa na jinsi ambavyo Mwiguru anazichuma sasahivi, kisha utarajie eti akistaafishwa ataishi maisha ya taabu kiuchumi huku uraiani.
Wanasiasa wanalitafuna sana hili taifa.
Hata mm nilidhan wamemuachia kumbe badoNani kasema Sabaya kaachiwa huru?
Mbona tarehe ya kuendelea na kesi imesogezwa mbele baada ya upande wa mashtaka kuiomba mahakama tarehe ya kusikilizwa shauri baada ya uchunguzi kukamilika.
Leo alifikishwa mahakama ya hakimu mkazi Moshi.
Onesha ushaidi wa shujaa SABAYAA kama alijirimbikizia fedhaaa, unaishia blaaa blaaaa tuuuu. Huna lolote wivu ndio umekujaaaa. SABAYAA Yuko huru kama yule aliyewahi kuitwa gaidi alivyo huruuuNikikuuliza ulete ushahidi ambao ni direct juu ya wale waliotukanwa "stupid" na SSH juu ya upotevu wa Mabillion ya pesa kulingana na report ya CAG, unaweza kunipa...
Wacha tusubiri kama jambazi nalo litaitwa Ikulu. Lisipoenda Ikulu, imethibitika pasi na shaka kuwa Sabaya ni Jambazi sugu aliyewahi kuwa msaidizi wa majambazi mengine katika awamu ile,Kuna gaidi tuliliachia likaitwa kwenda ikulu
USSR
Gaidi anayo hiyo hekima?Kama anayo hekima japo ya kizibo cha soda, aende kwa aliowapigilia misumari na kuwakata masikio, akawaombe msamaha...
Kama gaidiAlistahili kunyongwa hadharani kabisaaa na asipoangalia huko mabaharia wataruka naye mazima
Sabaya ameshinda kesi lakini gaidi alitoka kwa mbeleko ya SamiaWacha tusubiri kama jambazi nalo litaitwa Ikulu. Lisipoenda Ikulu, imethibitika pasi na shaka kuwa Sabaya ni Jambazi sugu aliyewahi kuwa msaidizi wa majambazi mengine katika awamu ile,
Unamjua sabaya unamsikiaWaliotaka kumpa fundisho nahisi kalipata sasa
Huyu jamaa ni kenge, Sabaya amekiri makosa wewe unasema ameshindaSabaya ameshinda kesi lakini gaidi alitoka kwa mbeleko ya Samia