Lengai Ole Sabaya aachiwa Huru kwa sharti la kutofanya kosa la Jinai kwa kipindi cha mwaka mmoja
Kama anayo hekima japo ya kizibo cha soda, aende kwa aliowapigilia misumari na kuwakata masikio, akawaombe msamaha.

Halafu afanye tafakari kwa nini shetani alifanya makao katika nafsi yake. Aliweka mazingira gani hata yakawa kichocheo cha kuona kwenye nafsi yake ndipo mahali salama pa kuishi...
Lete uthibitisho unaaonyesha alikua anawakata masikio. Poor brain.
 
Duh, at last.
Lesson learnt the hard way.

Viongozi wengine mjifunze... power is no permanent and is always shifting... just eat your cake and behave...
Once upon a time my pastor told me that "my dear brother in this world where we are living, there is no right. So if you will be wasting your time waiting for your right....absolutely you will regret for the resources that you will lose especially time".
 
Ushaidi uko wapi wa hizo pesa walizojirimbikizia
Nikikuuliza ulete ushahidi ambao ni direct juu ya wale waliotukanwa "stupid" na SSH juu ya upotevu wa Mabillion ya pesa kulingana na report ya CAG, unaweza kunipa?

Je kushindwa kwako kuuleta huo ushahidi itaondoa uhalisia kuwa hela zilipigwa?

Haijapita hata miaka mingi tangu Makonda atuhumiwe juu ya uingizaji wa makontena ya shehena zake ambayo hayakuwa yamelipiwa kodi pale bandarini na hakuna hatua zozote alizochukuliwa, bado unauliza upigaji wa Makonda?

Usiwe unakuja na maswali cheap namna hii, hii nchi hela zinapigwa mno.
 
Nawasihi wale waliodhulumiwa haki zao na huyu jambazi ndio muda wa kumalizana nae mtaani.
Huyo ni mafia akiwa uraiani, hizi comments za hapa Jf zisiwafanye muone maisha ni mepesi hivyo.

Tukiweka ligi ya kutafutana kati yako na Sabaya huku uraiani, nina uhakika hata wiki haiishi unakuwa umepotezwa ila hapa unatamba[emoji1].

Juilize ni nani amethubutu kumalizana na Makonda licha ya kwamba yupo uraiani miaka yote?
 
Nani kasema Sabaya kaachiwa huru?

Mbona tarehe ya kuendelea na kesi imesogezwa mbele baada ya upande wa mashtaka kuiomba mahakama tarehe ya kusikilizwa shauri baada ya uchunguzi kukamilika.

Leo alifikishwa mahakama ya hakimu mkazi Moshi.
 
Humjui Makonda na maisha yake uraiani, moja kati ya watu waliochuma pesa za kutosha kwenye ule utawala basi ni Makonda na Bashiru.

Yani ni sawasawa na jinsi ambavyo Mwiguru anazichuma sasahivi, kisha utarajie eti akistaafishwa ataishi maisha ya taabu kiuchumi huku uraiani.

Wanasiasa wanalitafuna sana hili taifa.
Hujui maana ya kuwa huru ila huna uwezo wa kuinjoi maisha pamoja na pesa au utajiri ulionao...
 
Nani kasema Sabaya kaachiwa huru?

Mbona tarehe ya kuendelea na kesi imesogezwa mbele baada ya upande wa mashtaka kuiomba mahakama tarehe ya kusikilizwa shauri baada ya uchunguzi kukamilika.

Leo alifikishwa mahakama ya hakimu mkazi Moshi.
Hata mm nilidhan wamemuachia kumbe bado
 
Nikikuuliza ulete ushahidi ambao ni direct juu ya wale waliotukanwa "stupid" na SSH juu ya upotevu wa Mabillion ya pesa kulingana na report ya CAG, unaweza kunipa...
Onesha ushaidi wa shujaa SABAYAA kama alijirimbikizia fedhaaa, unaishia blaaa blaaaa tuuuu. Huna lolote wivu ndio umekujaaaa. SABAYAA Yuko huru kama yule aliyewahi kuitwa gaidi alivyo huruuu
 
Walomfitini yeye tu ndiyo wataona aibu?

Je aliowafitni yeye?

Je ni wangapi wamefungwa kwa kesi za kusingiziwa, wengine wamepoteza maisha kwa kuonewa na hakuna ajuaye wala anayejali kuhusu hao wala wale waliokuwa wategemezi wao?

Double standard
 
Kuna gaidi tuliliachia likaitwa kwenda ikulu

USSR
Wacha tusubiri kama jambazi nalo litaitwa Ikulu. Lisipoenda Ikulu, imethibitika pasi na shaka kuwa Sabaya ni Jambazi sugu aliyewahi kuwa msaidizi wa majambazi mengine katika awamu ile,
 
Wacha tusubiri kama jambazi nalo litaitwa Ikulu. Lisipoenda Ikulu, imethibitika pasi na shaka kuwa Sabaya ni Jambazi sugu aliyewahi kuwa msaidizi wa majambazi mengine katika awamu ile,
Sabaya ameshinda kesi lakini gaidi alitoka kwa mbeleko ya Samia
 
Bongo kuna sanaa, hivi makosa ya matumisi ya mabaya ya madaraka yana plea bargaining?
 
Back
Top Bottom