Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 3,626
- 3,869
Akirudia makosa atarudishwa jela.Hongera sana Sabaya Mungu ni mkubwa sana sasa upo mtaani waliokufitini wataona aibu kubwa sana
USSR
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akirudia makosa atarudishwa jela.Hongera sana Sabaya Mungu ni mkubwa sana sasa upo mtaani waliokufitini wataona aibu kubwa sana
USSR
Una uhakika jamaa katubia?Haijalishi alitenda dhambi gani
Haijalishi alitenda Uhalifu upi
Penye toba pana msamaha
Mnyang'anyi: Yesu Mwana wa Mungu Unikumbuke Katika Ufalme wako
Yesu: Hakika Leo Hii Utakuwa Pamoja nami Peponi
Nawatakia Juma Takatifu Lenye Baraka!
Kila alipoingia mahakamani alisali mafungu yote ya Rozari na kutubu!Una uhakika jamaa katubia?
Hakika maana hali Bado ngumu mahakamani labda jioni sana kuna ishu za nyingi sanaInabidi sherehe yenu mghairishe [emoji23][emoji23]
Hahahaha nimeona live kwa miradi,bongo sio kabisa wanatumiana tu wamekaa barFikiria hiyo ni media inaandika "Ajaachiwa"
Uko sahihi mkuu jamaa bado sanaNilisema mimi, kwenye uzi mwingine kuwa kuna kitu watu wameshindwa elewa
Sina uhakika kama pesa ipo maana miaka miwili jela sio mchezoNamshauri kama pesa haijaisha aende nje ya nchi akatulie kwa muda kidgo.
ALIYEWAHI kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya, leo April 5, 2023 ameachiliwa huru na mahakama baada ya kufutiwa mashtaka saba yaliyokuwa yakimkabili, ikiwemo uhujumu uchumi, matumizi mabaya ya madaraka na kuongoza genge la uhalifu.Media za Tanzania hovyo sana watatu wanatumiana uongo uongo tu hakuna ukweli wowote Sabaya bado hajachiwa
USSR View attachment 2577356
Baada ya sherehe mpelekeni hospital anachechemea mnooHakika maana hali Bado ngumu mahakamani labda jioni sana kuna ishu za nyingi sana
USSR
Kwani na wewe Sabaya alikufanyia "ukatili"?SAD NEWS EVER.....
Endapo kama ameachiwa basi na majambazi maporaji mali za watu waliomo magerezani waachiwe huru.
Umeandika kinyoonge sana!Akifika mtaani atulie sasa hata akipewa madaraka asirudie kutumia kama fimbo ya kuwaumiza wengine
Hivi ni kweli huyo mjomba wako ameachiwa huru bwashee?Kila alipoingia mahakamani alisali mafungu yote ya Rozari na kutubu!
Great news?![emoji848][emoji848][emoji848]Great news! Karibu mtaani Sabaya na Pole sana kwa yote.
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app