Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Vijambio vyao vinawaka motoMbakaji wenu yupo mtaani andaeni vijambio hivyo
Midume kabisa inamuogopa ole sabaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vijambio vyao vinawaka motoMbakaji wenu yupo mtaani andaeni vijambio hivyo
Baada ya kukiri mtuhumiwa anatiwa hatiani halafu adhabu itatolewa na mwendesha mashitaka kwa makubaliano maalum (plea bargaining).Inamaana gani kupigwa faini ya 5mn Tano kama hakukutwa na hatia alafu achiwe Tena kwa masharti
[emoji1787][emoji1787]Vijambio vyao vinawaka moto
Midume kabisa inamuogopa ole sabaya
Kuna uwezekano wa wale wanaodai "mungu ni fundi" kuukana ufundi huo leo....huku wakijiongezea uchuro na dhambi.Hongera sana Sabaya Mungu ni mkubwa sana sasa upo mtaani waliokufitini wataona aibu kubwa sana
USSR
Mbowe hakukutwa na hatia, alikuwa na kesi ya kujibu. Kwa maneno mengine alitakiwa ajitetee, na inawezekana baada ya ushahidi wa utetezi ingewezekana akaachiwa huru kwa kuonekana hana hatia.Una maanisha mbowe nae hataweza kugombea nafasi yoyote? Maana alikutwa na hatia
Haha nchi ya mapunguani sana hii. Magaidi na vibaka tena waliokiri makosa wanaachiw watambe mtaani alafu tunafurahia?Timu gaidi watanyooka tu wasiyempenda anakuja
Bila Madaraka hasa Polisi hana umafia, wowote,aanze ujinga wake aoneHuyo ni mafia akiwa uraiani, hizi comments za hapa Jf zisiwafanye muone maisha ni mepesi hivyo.
Tukiweka ligi ya kutafutana kati yako na Sabaya huku uraiani, nina uhakika hata wiki haiishi unakuwa umepotezwa ila hapa unatamba[emoji1].
Juilize ni nani amethubutu kumalizana na Makonda licha ya kwamba yupo uraiani miaka yote?
Kwani faini aliyopigwa ni ya nini mkuu? Sio hukumu kwa makosa aliyoyakiri?Angekua amekiri kwa nini kaachiwa? Acheni porojo
Mahakama imeshindwa kazi, imemleta kwenye mahakama ya mtaaniAliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya, ambaye amekuwa akikabiliwa mashtaka saba ikiwemo uhujumu uchumi, matumizi mabaya ya madaraka na kuongoza genge la uhalifu leo Aprili 05, 2023 ameachiliwa huru.
Taarifa zaidi zitakujia hapa hapa baadae.
Chanzo: Jambo TV
===
Aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya, leo April 5, 2023 ameachiliwa huru na mahakama baada ya kufutiwa mashtaka saba yaliyokuwa yakimkabili, ikiwemo uhujumu uchumi, matumizi mabaya ya madaraka na kuongoza genge la uhalifu.
Mahakama imetoa uamuzi wa Lengai Ole Sabaya kulipa kiasi cha shilingi milioni 5 kama fidia kwa mwathirika na hapaswi kufanya kosa lolote la jinai kwa muda wa mwaka mmoja.
Sabaya ambaye mapema asubuhi ya leo alifika kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Moshi, kabla uamuzi wa kuachiwa haujatangazwa, kupitia Kifungu cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai namba 91 kifungu cha 1A, kesi yake ya Uhujumu Uchumi ya mwaka 2022 ilifanyiwa marejeo kama upande wa mshtakiwa ulivyoomba.
Mawakili upande wa Jamhuri waliiomba mahakama kubadilisha mashtaka ya Lengai Ole Sabaya kutoka kuwa ya kesi ya Uhujumu Uchumi na kufungua kesi yenye Mashtaka ya Makosa ya Jinai baada ya Lengai Ole Sabaya kuomba kufanya mazungumzo nje ya mahakama na Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Ombi hilo la Sabaya lilikubaliwa na Hakimu wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi, Salome Mshasha baada ya Mawakili wa Lengai Ole Sabaya kuridhia na kufutwa kwa kesi yake namba 2 ya Uhujumu Uchumi ya mwaka 2022.
Baada ya kuridhia hilo, kesi mpya aliyofunguliwa Sabaya ni kesi kesi ya Jinai Namba 31/2023 ambayo ndani yake kulikuwa na mashtaka mawili mapya dhidi yake, kosa la kwanza likiwa ni kuchukua madaraka ambayo siyo yake.
Imeelezwa kuwa Lengai Ole Sabaya na wenzake, Januari 19, 2021 katika eneo la Masama Mbosho wilayani Hai mkoani Kilimanjaro, bila kibali walivamia duka la Alex Evarest SwaI na kuchukua mali na kuzizuia na kujipatia kaisi cha fedha shilingi milioni 50.
Kosa la pili ni kuzuia upatikanaji wa haki ambapo Januari 19, 2021 katika maeneo tofautitofauti katika Wilaya ya Hai na Tulia jijini Arusha na maeneo tofauti ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, walikula njama za kumfanya Alex Swai kuwa ametenda kosa la kukwepa kodi.
Baada ya kusomewa mashtaka, Sabaya alikiri kufanya makosa yote hayo mawili mbele ya hakimu Salome Mshasha.
Huna unalojua, alishajitetea ndio hapo mahakama imamkuta na hatia. Alikua anasubiri hukumuMbowe hakukutwa na hatia, alikuwa na kesi ya kujibu. Kwa maneno mengine alitakiwa ajitetee, na inawezekana baada ya ushahidi wa utetezi ingewezekana akaachiwa huru kwa kuonekana hana hatia.
Kwa hiyo, kesi ya Mbowe iliondolewa na mshitaki au mlalamikaji (jamhuri).
Aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya, ambaye amekuwa akikabiliwa mashtaka saba ikiwemo uhujumu uchumi, matumizi mabaya ya madaraka na kuongoza genge la uhalifu leo Aprili 05, 2023 ameachiliwa huru.
Taarifa zaidi zitakujia hapa hapa baadae.
Chanzo: Jambo TV
===
Aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya, leo April 5, 2023 ameachiliwa huru na mahakama baada ya kufutiwa mashtaka saba yaliyokuwa yakimkabili, ikiwemo uhujumu uchumi, matumizi mabaya ya madaraka na kuongoza genge la uhalifu.
Mahakama imetoa uamuzi wa Lengai Ole Sabaya kulipa kiasi cha shilingi milioni 5 kama fidia kwa mwathirika na hapaswi kufanya kosa lolote la jinai kwa muda wa mwaka mmoja.
Sabaya ambaye mapema asubuhi ya leo alifika kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Moshi, kabla uamuzi wa kuachiwa haujatangazwa, kupitia Kifungu cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai namba 91 kifungu cha 1A, kesi yake ya Uhujumu Uchumi ya mwaka 2022 ilifanyiwa marejeo kama upande wa mshtakiwa ulivyoomba.
Mawakili upande wa Jamhuri waliiomba mahakama kubadilisha mashtaka ya Lengai Ole Sabaya kutoka kuwa ya kesi ya Uhujumu Uchumi na kufungua kesi yenye Mashtaka ya Makosa ya Jinai baada ya Lengai Ole Sabaya kuomba kufanya mazungumzo nje ya mahakama na Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Ombi hilo la Sabaya lilikubaliwa na Hakimu wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi, Salome Mshasha baada ya Mawakili wa Lengai Ole Sabaya kuridhia na kufutwa kwa kesi yake namba 2 ya Uhujumu Uchumi ya mwaka 2022.
Baada ya kuridhia hilo, kesi mpya aliyofunguliwa Sabaya ni kesi kesi ya Jinai Namba 31/2023 ambayo ndani yake kulikuwa na mashtaka mawili mapya dhidi yake, kosa la kwanza likiwa ni kuchukua madaraka ambayo siyo yake.
Imeelezwa kuwa Lengai Ole Sabaya na wenzake, Januari 19, 2021 katika eneo la Masama Mbosho wilayani Hai mkoani Kilimanjaro, bila kibali walivamia duka la Alex Evarest SwaI na kuchukua mali na kuzizuia na kujipatia kaisi cha fedha shilingi milioni 50.
Kosa la pili ni kuzuia upatikanaji wa haki ambapo Januari 19, 2021 katika maeneo tofautitofauti katika Wilaya ya Hai na Tulia jijini Arusha na maeneo tofauti ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, walikula njama za kumfanya Alex Swai kuwa ametenda kosa la kukwepa kodi.
Baada ya kusomewa mashtaka, Sabaya alikiri kufanya makosa yote hayo mawili mbele ya hakimu Salome Mshasha.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji2960]Plea bargaining [emoji2][emoji2][emoji2]
Hata mbowe alisamehewa na mamlakaMamlaka imeamua kunsamehe tu.....ashukuru Sana connection zake za kifamilia huko Ccm.
Huyo bagamoyo hana akili. Mbowe mwenyewe alitiwa hatiani
Yule usiyemjua
Mungu mwingi wa rehema
Ndiye amemtoa Sabaya gerezani?
Amekiri kuwa alikuwa anaendesha genge la washenzi na amekiri makosa yake na atalipa plea bargain so amejifunza mvinyo wa madaraka ni mbaya.Timu gaidi watanyooka tu wasiyempenda anakuja
Nyie ni majinga kabisa,huyu jambazi amekiri na amekubali kulipa plea bargains, maana yake ni mtu asiyeaminika na wala si mtu sahihi kupewa madaraka yoyote tena,cha kushangaza ni kuwa amekiri kupora milioni 50 halafu anaambiwa amlipe aliyempora shilingi milioni 5 tu,hizo 45 huyu mhanga anazipataje?Agudishwe kwenye wilaya na kupewa stahiki zake zote na mishahara ikiwemo