sabaya alitenda uhalifu gani? mbona kaonekana mlikuwa mmempa kesi ya mchongo na hakimu wenu wa mchongoMbowe alihukumiwa kufungwa na mahakama gani? na kwa uhalifu upi aliotenda?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sabaya alitenda uhalifu gani? mbona kaonekana mlikuwa mmempa kesi ya mchongo na hakimu wenu wa mchongoMbowe alihukumiwa kufungwa na mahakama gani? na kwa uhalifu upi aliotenda?
Nninachokiona hapa INAWEZA KUWA MWANZO WA RAIA WEMA KUVView attachment 2213874
Wakili wa upande wa utetezi Moses Mahuna akieleza kuhusu Sabaya na wenzake
kushinda rufaa yao na kuachiliwa huru katika Mahakama Kuu Kanda ya Arusha.
View attachment 2213907
Sabaya na wenzake watatu wamebakiza ngwe moja ya hukumu ya kesi ya uhujumu uchumi baada ya Mahakama Kuu ya kumwachia huru muda huu. Warufani wengine katika kesi hiyo ni Silvester Nyegu na Daniel Mbura, waliokuwa wakikabiliwa na mashtaka matatu ya unyang'anyi kwa kutumia silaha.
Oktoba 15, mwaka 2021, Hakimu Mwandamizi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha, Odira Amworo, alimtia hatiani Ole Sabaya na wenzake kuhukumiwa kifungo cha miaka 30 jela.
View attachment 2213863
Ole Sabaya wakati akifikishwa Mahakamani kusikiliza rufaa yake Mei, 2022
Pia, soma=> Lengai Ole Sabaya na Wenzake wawili wahukumiwa miaka 30 Jela kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha
Nadhani hapa kuna kitu cha kujifunza;View attachment 2213874

Mimi sio mjinga wa kuwa twisted na na toothless courts.Kajitundikie ufe
Msituhamishe kwenye mada kuu ya KATIBA mpya na Kupanda Bei za mafuta. Time hii kitaeleweka.View attachment 2213874
Wakili wa upande wa utetezi Moses Mahuna akieleza kuhusu Sabaya na wenzake
kushinda rufaa yao na kuachiliwa huru katika Mahakama Kuu Kanda ya Arusha.
View attachment 2213907
Sabaya na wenzake watatu wamebakiza ngwe moja ya hukumu ya kesi ya uhujumu uchumi baada ya Mahakama Kuu ya kumwachia huru muda huu. Warufani wengine katika kesi hiyo ni Silvester Nyegu na Daniel Mbura, waliokuwa wakikabiliwa na mashtaka matatu ya unyang'anyi kwa kutumia silaha.
Oktoba 15, mwaka 2021, Hakimu Mwandamizi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha, Odira Amworo, alimtia hatiani Ole Sabaya na wenzake kuhukumiwa kifungo cha miaka 30 jela.
View attachment 2213863
Ole Sabaya wakati akifikishwa Mahakamani kusikiliza rufaa yake Mei, 2022
Pia, soma=> Lengai Ole Sabaya na Wenzake wawili wahukumiwa miaka 30 Jela kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha
Kwanza ya uhujumu uchumi kuna plea bagainKesi ya uhujumu uchumi kifungo chake hakizidi miaka mitano kama sijakosea.Kwa Sabaya kupangua hii kesi ni ushindi mkubwa sana kwake hata kama ya uhujumu uchumi atashindwa.
Nadhani hapa kuna kitu cha kujifunza;expand...
Hili Taifa litakuja kuwekwa sawa na Wapinzani ninyi naona limeshawashinda msema kweli mpenzi wa Allah.Kosa la sabaya mlisema aliwabaka?
Utataga dagaa safari hiiAcha upotoshaji mkuu, Sabaya yuko jela, na akipatikana na hatia kwa kesi ya uhujumu uchumi ni nyundo 30 nyingine.
Sabaya si wa kwanza kupanguwa kesi, magerezani kuna watu wana kesi kibao wanapanguwa lakini moja lazima unyooshwe.
Nakuhakikishia Sabaya ajiandae na kukata rufaa ya pili. Tunza hii comment muda si mrefu utakuja kulifukuwa hili kaburi.
Nitajie mhujumu uchumi aliefungwaHivi huwa kichwani zinawatosha? Kesi ya uhujumu uchumi ina dhamana?
Basi haiwezi kuwa nomaMahakama haiwezi kumfufua!
Bado ana mizigo mingine hapo kwa pilato..huo ni mmoja ameutua kati ya kadhaa aliyonayo.MUNGU amejibu maombi ya watanzania wengi.Karibu sana ndugu yetu tuungane tuyakimbize mafisadi
Toothless courts hata kwa gaidi?Mimi sio mjinga wa kuwa twisted na na toothless courts.
Huyu kwangu atabaki kuwa jambazi na nothing can change .
It is just tantamount to flogging a dead horse.
Sisi kina nani?Hili Taifa litakuja kuwekwa sawa na Wapinzani ninyi naona limeshawashinda msema kweli mpenzi wa Allah.
Onesha footage ya CCTV kama hiyo hapo juu ya Mbowe akiwa na explosive yoyote.Toothless courts hata kwa gaidi?
Mwanzo wa hii kesi ilikuwa amri ya Samia kuchunguza "tuhuma" zilizokuwa zina mkabili Sabaya.Nninachokiona hapa INAWEZA KUWA MWANZO WA RAIA WEMA KUV
Nadhani hapa kuna kitu cha kujifunza;
Moja; Ni wakati sasa taasisi zinazohusika zikafanyia kazi ushauri wa Mh. RAIS kuwa kama hatuna uhakika na kesi au tuhuma au hakuna ushahidi wa kutosha ni VEMA WAKAACHA KUSUMBUA WATU NA MWISHO WA SIKU MTU ANAACHIWA HURU AKIWA AMEPOTEZEWA MUDA.
Pili; Itafika wakati WANANCHI WATAACHA KUTOA USHIRIKIANO KWA VYOMBO HIVI. Utamwambia nini Mtu ambaye amejitoa muda wake kuja kutoa ushahidi kwa jambo ambalo mlijua kabisa halina ushahidi na mwisho wa SIKU MNAMTENGENEZEA UADUI USIO NA KICHWA WALA MIGUU. Mnafikiria kwa Ujana wa SABAYA KAMA MUNGU AMEMJAALIA UMRI BADO ANA MUDA WA KUISHI ATAACHA YAPITE HIVI HIVI? kuweni waungwana jamani mtaangamiza familia za watu bila SABABU!!!!
Tatu; Kama kweli kuna madhila yalifanyika na mwisho wa siku zinakuwa sarakasi za hivi; wananchi tunapoteza IMANI NA VYOMBO HIVI NA NI HATARI KWANI ITACHOCHEA wanaofikiria wanaweza kulipa kisasi itakuwa bora zaidi kwao kuliko kwenda kwenye mfumo wa sheria.
Nne; Inajengeka picha kwenye jamii kuwa WENYE NAO NI UNTOUCHABLE na WANAWEZA KUAMUA NA KUINGILIA MFUMO WA MAHAKAMA
Tano; Matumizi mabaya ya Rasilimali za Taifa kwani tumetumia vibaya muda wa Mahakimu wetu badala ya kusaidia kutoa maamuzi kwenye kesi mbalimbali za wananchi na kupunguza mrundikano, wametumia muda mwingi kwenye sarakasi ambazo hazina kichwa wala Miguu!! Lakini pia Mawakili, askari magereza, mashahidi na wananchi walioacha shughuli zao kufuatilia MWENENDO WA KESI HII!!! Mwisho wa siku sarakasi!!!!!! Inaniuma sana kupoteza muda na rasilimali kwa vitu ambavyo wahusika wanajua mwisho wake!!!
Sita; Inatoa Taswira kuwa bado taasisi zetu watu wanafanya kazi kwa mazoea na utumishi na uwajibikaji umeshuka!
Saba; Imani ya Wananchi kwa serikali yao na vyombo vyao INASHUKA! Mbona kwenye kubambikia watu kesi kila kitu kinakuwepo na ushahidi unakamilika haraka kwanini WELEDI UNAKOSEKANA KWENYE MAMBO MUHIMU NA YA MSINGI.
Nane; Mwenendo wa kesi na sarakasi zake unatoa TASWIRA YA uwepo na matumizi ya RUSHWA HIVYO KUNAWEZA KUCHOCHEA RUSWA KWA WANANCHI NA WATENDAJI WA SERIKALI.
Binafsi sina shida na SABAYA KUACHIWA HURU LAKINI NINA SHIDA NA KUPOTEZEWA MUDA NA RASILIMALI ZA TAIFA NA BINAFSI HUKU WAHUSIKA WAKIJUA KABISA WANACHOKIFANYA!!!!
MAMA YETU KWA UTENDAJI HUU USIPOANGALIA UPYA SAFU YAKO YA WATENDAJI WANAKUHUJUMU NA KUKUGOMBANISHA NA WANANCHI WAKO WAPENDWA!!!! IFIKE WAKATI WASAIDIZI WAKO WAKUSAIDIE MAMA YETU MPENDWA... TUNAKUPENDA NA KUKUOMBEA KILA LILILO JEMA ILA KWA WATENDAJI HAWA WANAKUCHONGANISHA NA WANANCHI.
Mwisho; NILICHOKIANDIKA KINABAKI NA MTIZAMO NA MAWAZO BINAFSI.