Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,630
- 47,434
Kwenye hiyo kesi ya sabaya.
Jaji anaishauri Jamhuri hata isipoteze muda kukata rufani maana kilichofanyika mahakama ya hakimu mkazi ni sifuri.
Ni vigumu sana kushinda kesi zinazopelekwa kwa mihemko ya kisiasa.
Maswala ya kisiasa yatafutiwe suluhu za kisiasa.
Kama walitaka kumwadabisha Sabaya wangemfuta UDC ingeishia pale.
Ila ni matumizi mabaya ya resources za serikali kupeleka mahakamani kesi za kukomoana na kufurahishana bila kuwa na ushahidi wa kutosha.