strong ruler
JF-Expert Member
- Nov 2, 2013
- 4,921
- 3,308
Aiseee!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]USA ambako Mh Rais katoka juzi ndio asubuhi mapema sasa.
Ashinde hii na hii ya mwisho wa mwezi Tena?
Sabaya amepewa temporary relief tu Ila makao yake ya kudumu ni jela
JinyongeUpuuzi mtupu
Sijui
Hongera wewe husiye juha,ila usichokijuavni kuwa kutengua uamuzi wa trial court basing on technicalities and not on merits of the case haimzuii jamhuri kukushtaki upya. So ndugu intellectual wewe naomba ulijue hilo hiyo rufaa ilikuja kutokana na uamuzi wa kesi iliyosikilizwa na kutolewa uamuzi na mahakama yenye compitent jurisdiction of which uamuzi wa leo ungeweza kutoa order ya retrial. Unaposema hamna kesi hapo wewe ndo unaonekana juha msomi.Hakuna kesi hapo, acha ujuha
Muachieni kabisa wala hakuna haja ya kutumia kodi zetu kuendeleza shauri lolote dhidi yake. Tunafahamu wazi sasa ni kiini macho proper. Mahakama yetu wananchi ilisha mtia hatiani zamani mno. Makosa ya kubaka binti zetu ishirini na mwingine ni bint yangu mwenyewe aliyekuwa anasoma chuoni Arusha. Ameua watu kumi maCHAame na naruMU. Aliwalawiti vijana watatu na kuwatupa kikatiti. Ametesa watu kuliko shetani mfano mmoja ni wale aliowakata manikin na wengine kuwapigilia misumari miguuni. Yule aliyeingizwa chupa sehemu za siri bado yupo.Serikali kwa mara nyingine ijitathmiini katika uwezo wa Idara na Taasisi zake kutayarisha kesi na mashahidi kwani zimefeli hivyo kushindwa ku-i-move Mahakama Kuu kuwa kulikuwa na kesi ya kusikilizwa kwa kutumia mizania ya kisheria.
Je tatizo ni kukosekana wanasheria wa serikali walioiva ? Je mfumo haki jinai (criminal justice system) yaani Polisi, TAKUKURU, DPP na Mahakama za chini zinakosa rasilimali watu wabobevu wa kuchunguza, kuandaa na kusikiliza tuhuma / kesi toka mwanzo wa mchakato mzima wa kutoa haki Au kesi hii ilikuwa kuna shindikizo?
Rufaa ya Ole Sabaya kutajwa Desemba 13
Jaji wa mahakama kuu amesema rufaa ya aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai kisha kusingiziwa ameiba simu aina ya Tecno na pesa laki tatu na sitini na kufungwa miaka 30 jela Lengai Sabaya itaanza kusikilizwa 13/12/2021 mfululizo mpaka haki itakapopatikana. === Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Butamo...www.jamiiforums.com
06 May 2022
Arusha, Tanzania
Hukumu ya Jaji Ezedekia Kisanya wa Mahakama Kuu ya Tanzania :
Mahakama Kuu Kanda ya Arusha imemuachia huru aliyekuwa DC wa Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili waliokuwa wamekata rufaa ya kupinga kuhukumiwa miaka 30 kwenda jela kila mmoja kwa sababu mbalimbali kwakuwa Mrufani namba mbili Silvester Nyegu na namba tatu Daniel Mbura hawakupewa haki ya kumhoji Shahidi namba mbili wa Jamhuri na kutokufanya hivyo kunawanyima haki yao msingi.
Jaji Ezedekia Kisanya amesema kulikuwa na mkanganyiko kwenye mwenendo wa usikilizwaji wa kesi hiyo ikiwemo kutofautiana kwa mashahidi na kuufanya ushahidi kuwa batili.
Jaji amesema Lengai Ole Sabaya na wenziwe, watakuwa huru endapo watakuwa hawana kesi nyingine kwenye Mahakama yoyote.
Kesi nyingine ya uhujumu uchumi na utakatishaji fedha namba 27 /2021 kutolewa hukumu tarehe 31 May 2022
Kumbukumbu zinaonesha Lengai Ole Sabaya na wenzie watano bado wanakabiliwa na kesi ya tuhuma ya uhujumu uchumi. Hivyo ataendelea kuwa mahabusu na siyo mfungwa baada ya Mahakama Kuu ya Tanzania kutengua hukumu ya kesi ya unyanganyi kwa kutumia silaha ambapo mahakama ya Hakimu Mkazi ilimuhukumu miaka 30 lakini imetenguliwa leo na kumbatilisha kuwa mahabusu anayesubiri hukumu ya kesi iliyobaki mahakamani ya Uhujumu Uchumi.
Ni fursa tu hapa. Unafikiri atadumu..??? HANA UBAVU SUBIRI.Una kihoro hapo. Mafi yako
Hawakutaka aendelee kukaa jela tu. Wangetaka angepangiwa jaji kutoka popote, mradi abaki huko huko! Kumbuka kesi ya Mbowe,Jaji alitoka Mwanza kama vile dar es salaam ina uhaba wa majaji.Serikali kwa mara nyingine ijitathmiini katika uwezo wa Idara na Taasisi zake kutayarisha kesi na mashahidi kwani zimefeli hivyo kushindwa ku-i-move Mahakama Kuu kuwa kulikuwa na kesi ya kusikilizwa kwa kutumia mizania ya kisheria.
Je tatizo ni kukosekana wanasheria wa serikali walioiva ? Je mfumo haki jinai (criminal justice system) yaani Polisi, TAKUKURU, DPP na Mahakama za chini zinakosa rasilimali watu wabobevu wa kuchunguza, kuandaa na kusikiliza tuhuma / kesi toka mwanzo wa mchakato mzima wa kutoa haki Au kesi hii ilikuwa kuna shindikizo?
Rufaa ya Ole Sabaya kutajwa Desemba 13
Jaji wa mahakama kuu amesema rufaa ya aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai kisha kusingiziwa ameiba simu aina ya Tecno na pesa laki tatu na sitini na kufungwa miaka 30 jela Lengai Sabaya itaanza kusikilizwa 13/12/2021 mfululizo mpaka haki itakapopatikana. === Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Butamo...www.jamiiforums.com
06 May 2022
Arusha, Tanzania
Hukumu ya Jaji Ezedekia Kisanya wa Mahakama Kuu ya Tanzania :
Mahakama Kuu Kanda ya Arusha imemuachia huru aliyekuwa DC wa Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili waliokuwa wamekata rufaa ya kupinga kuhukumiwa miaka 30 kwenda jela kila mmoja kwa sababu mbalimbali kwakuwa Mrufani namba mbili Silvester Nyegu na namba tatu Daniel Mbura hawakupewa haki ya kumhoji Shahidi namba mbili wa Jamhuri na kutokufanya hivyo kunawanyima haki yao msingi.
Jaji Ezedekia Kisanya amesema kulikuwa na mkanganyiko kwenye mwenendo wa usikilizwaji wa kesi hiyo ikiwemo kutofautiana kwa mashahidi na kuufanya ushahidi kuwa batili.
Jaji amesema Lengai Ole Sabaya na wenziwe, watakuwa huru endapo watakuwa hawana kesi nyingine kwenye Mahakama yoyote.
Kesi nyingine ya uhujumu uchumi na utakatishaji fedha namba 27 /2021 kutolewa hukumu tarehe 31 May 2022
Kumbukumbu zinaonesha Lengai Ole Sabaya na wenzie watano bado wanakabiliwa na kesi ya tuhuma ya uhujumu uchumi. Hivyo ataendelea kuwa mahabusu na siyo mfungwa baada ya Mahakama Kuu ya Tanzania kutengua hukumu ya kesi ya unyanganyi kwa kutumia silaha ambapo mahakama ya Hakimu Mkazi ilimuhukumu miaka 30 lakini imetenguliwa leo na kumbatilisha kuwa mahabusu anayesubiri hukumu ya kesi iliyobaki mahakamani ya Uhujumu Uchumi.
Mbowe alivyoachiwa na hao² Majaji Mahakama hazikupoteza Credibility Ila Kwa sabaya zimepoteza Sio?Mkuu unachosema ni kweli kabisa kwamba watu waangalie hukumu inasema nini, kwa bahati mbaya zama hizi si zile za Mahakama tulizokuwa nazo.
Hakuna shaka yoyote kwamba mahakama zetu zimepoteza credibility na integrity.
CJ aliposimama na kusema hukumu zizingatie mihimili mingine alipigilia msumari wa mwisho.
Confidence na Mahakama zetu imekuwa eroded katika kipindi hiki. Mfumo mzima
Lakini si mahakama tu, DPP naye aliposimama kumkingia kifua Makonda ilieleza jambo
Ni watu wangapi, masikini, viongozi, maarufu au matajiri waliowahi kukingiwa kifua na DPP
Ni kwa mantiki hiyo Sabaya alikiri kushiriki na kutumwa na wakubwa hawezi kuachwa aozoe magereza.
Kuna kundi la vijana waliokuwa na kazi maalum, lina siri nzito sana vifuani mwao.
Mahakama inatumika kama JIKI
Jamani mifumo yetu yote imeoza, ndio maana tunataka katiba mpya kuihuisha.
Mahakama ni mmjoa wa mifumo iliyopoteza imani ya umma
Yaliyomkuta madogo.Mbowe kimyaa!
Bila shaka kaona mama anaupiga mwingi ndio maana akaona bora akae kimya na 2025 atakula ubunge ili aendelee kuramba asali
Mbona Nelson Mandela,Keneth Kaunda,Hichilema na Robert Mugabe waliwahi fungwa kwa nyakati tofauti lakini wakawa viongozi katika nchi zao.Sabaya ameshawahi kutiwa hatiani na kufungwa hivyo amepoteza sifa ya kuwa kiongozi wa umma.
Muachieni kabisa wala hakuna haja ya kutumia kodi zetu kuendeleza shauri lolote dhidi yake. Tunafahamu wazi sasa ni kiini macho proper. Mahakama yetu wananchi ilisha mtia hatiani zamani mno. Makosa ya kubaka binti zetu ishirini na mwingine ni bint yangu mwenyewe aliyekuwa anasoma chuoni Arusha. Ameua watu kumi maCHAame na naruMU. Aliwalawiti vijana watatu na kuwatupa kikatiti. Ametesa watu kuliko shetani mfano mmoja ni wale aliowakata manikin na wengine kuwapigilia misumari miguuni. Yule aliyeingizwa chupa sehemu za siri bado yupo.
Hukumu yake ilitoka zamani nayo ni kifo. Ahsante mahakama kwa kumuachia na karibu sabaya Arusha, Moshi, Hai, kibosho, Machame. Karibu Dar, karibu kaskazini, kusini mashariki au mangharibi TUPE FURSA YA KUTEKELEZA HUKUMU YETU WAATHTIRIWA. sasa tupo tayari kwa lolote.