Lengai Ole Sabaya ashinda rufaa na kuachiwa huru na Mahakama Kuu ya Arusha
Nakuuliza ushawahi kuona sabaya kanyoa upara?
Wewe ni pimbi, mambo ya kunyoa yameingiaje hapa, nilichosema Sabaya yupo jela hata sasa ninavyoandika hapa amerudi kama mahabusu.
Inaonekana kiingereza kinakupiga chenga, haya basi ameenda nyumbani
 
Haya kumekuchaaaaaaah sasa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
CCM wajanja, wameamua kuwahamisha kutoka kujadili bei ya mafuta hadi kumjadili Sabaya
Una maana hakimu alipanga tarehe ya hukumu kwa kuangalia kalenda ya lini mafuta yatapanda??? 😂😂
 
Mbowe out, Sabaya out...
Acha upotoshaji mkuu, Sabaya yuko jela, na akipatikana na hatia kwa kesi ya uhujumu uchumi ni nyundo 30 nyingine.

Sabaya si wa kwanza kupanguwa kesi, magerezani kuna watu wana kesi kibao wanapanguwa lakini moja lazima unyooshwe.

Nakuhakikishia Sabaya ajiandae na kukata rufaa ya pili. Tunza hii comment muda si mrefu utakuja kulifukuwa hili kaburi.
 
📌📌📌📌📌📌📌📌
 
Kesi ya uhujumu uchumi kifungo chake hakizidi miaka y mitano kama sijakosea.Kwa Sabaya kupangua hii kesi ni ushindi mkubwa sana kwake hata kama ya uhujumu uchumi atashindwa.
Acha iwe shangwe lakini najua ni lazima iambatane na funzo
 
Back
Top Bottom