Lengai Ole Sabaya ashinda rufaa na kuachiwa huru na Mahakama Kuu ya Arusha
Atakuja sawa mtaaani ila ataishi kama digi digi yule mwengine wa Daslam.
Ardhi hii ba ndugu inapaswa uikanyage kwa adabu,sana.
Ipo siku utaogopa hata vishindo vya miguu yako mwenyewe.
Amerudishwa kisongo
 
JPM alikuwa akihutubia hadharani kuwa nchi hii ni tajiri na fedha za mirad nyengine atazipata kwa mafisadi. Mkaacha kuuliza huko kwa mafisadi anzipata vipi?

Mkabakia kumshangilia mkiona miradi inaota kama uyoga. Ogopa sana wanasheria wanaovaa mawani meusi ya poloraide kama huyu wakili Mtetezi wa Sabaya na jamaa zake
 
CCM wameamua kuachana na maovu ya Sabaya ili kumsitiri marehemu.Marehemu ndio alikuwa 'mastermind' wa maovu yote ya Sabaya😡
 
[emoji16][emoji16] binafsi sina habari., wakifungwa poa wasipofungwa poa vile vile
 
Kumbe hiyo miaka aliyopangua leo ni kama bonaza afu hiyo 30 ambayo bado ni kama jackpot
Kesi ya uhujumu uchumi kifungo chake hakizidi miaka mitano kama sijakosea.Kwa Sabaya kupangua hii kesi ni ushindi mkubwa sana kwake hata kama ya uhujumu uchumi atashindwa.
 
Back
Top Bottom