Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Mlisema alikua anawabaka, haya mpelekeeni sasa hivi kwa hiari yenuMahakama za mchongo, mahakimu wa mchongo no surprise
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mlisema alikua anawabaka, haya mpelekeeni sasa hivi kwa hiari yenuMahakama za mchongo, mahakimu wa mchongo no surprise
Uchungu wapeleke lebaMakamanda wanalia kwa uchungu Sana, na bendera wameweka nusu mlingoti
Mlisema alikua anawabaka, mpelekeeni sasa hivi kwa hiari.Anarudi mtaa upi? Kimeo cha uhujumu uchumi kakimaliza?
Akipatikana na hatia ni miaka 30, its over yet, Sabaya ataendelea kukaa jela mpaka siku ya hukumu kesi yake haina dhamana.
Jaji aliyekuwa akisikiliza rufaa hiyo, Ezedekia Kisanya amesema kulikuwa na mkanganyiko kwenye mwenendo wa usikilizwaji wa kesi hiyo ikiwemo kutofautiana kwa mashahidi na kuufanya ushahidi kuwa batili.
Kwamba pamoja tuhuma zote ameachiwa huru 😂😂😂😂😂
Ewaaaaah [emoji1787][emoji1787]Mkuu ndiyo sheria ilivyo. Hata scopion alimtoboa toboa macho yule jamaa lakini alishinda kesi.
Mbowe alishtakiwa kwa ugaidi lakini ameshinda kesi.
So keep cool bro. endelea kujenga taifa kwa kutoa tozo na kodi ili wakubwa wale na kunywa. Leo mafuta 3400 Tz.
Achana na hawa waliolewa madaraka. Feed your family kama bado unanguvu
Kuna mtu nilimwambia mda sanaa akanibishia, nimeelewa kile kijiwe sio level yanguView attachment 2213874
Wakili wa upande wa utetezi Moses Mahuna akieleza kuhusu Sabaya na wenzake
kushinda rufaa yao na kuachiliwa huru katika Mahakama Kuu Kanda ya Arusha.
View attachment 2213907
Sabaya na wenzake watatu wamebakiza ngwe moja ya hukumu ya kesi ya uhujumu uchumi baada ya Mahakama Kuu ya kumwachia huru muda huu. Warufani wengine katika kesi hiyo ni Silvester Nyegu na Daniel Mbura, waliokuwa wakikabiliwa na mashtaka matatu ya unyang'anyi kwa kutumia silaha.
Oktoba 15, mwaka 2021, Hakimu Mwandamizi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha, Odira Amworo, alimtia hatiani Ole Sabaya na wenzake kuhukumiwa kifungo cha miaka 30 jela.
View attachment 2213863
Ole Sabaya wakati akifikishwa Mahakamani kusikiliza rufaa yake Mei, 2022
Pia, soma=> Lengai Ole Sabaya na Wenzake wawili wahukumiwa miaka 30 Jela kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha
Inashangaza sn snKwa zile dhuluma alizofanya Sabaya anaachiwa huru?.
Bavicha mlisema sabaya alikua anawabaka, haya mpelekeeni tena hayo masaburi kwa hiari yenu.Na usishangae akitoka akawafanyizia waliotoa ushahidi kwenye kesi yake, na wasifanywe lolote hata serikali ikijua.
Ulidhulumiwa nn?Kwa zile dhuluma alizofanya Sabaya anaachiwa huru?.
Mlisema alikua anawabaka, haya mpelekeeni kwa hiari sasaWazungu huwa wanamsemo mmoja kuwa Negroes hawawezi kujiongoza wenyewe
Nimeanza kuwaamini.
Ukiachana na mabishano yetu haya trust me, mi na wewe wote hakuna anaye wish awe na moment kama ya makonda anayopitia saiziAtaleta u king kong gani sasa?
Sasa atatulia kula maisha kma mwenzie makonda, huku nyie mkiendelea kuoandishiwa bei za mafuta hadi mkome