Lengai Ole Sabaya ashinda rufaa na kuachiwa huru na Mahakama Kuu ya Arusha

Mwiba wa ujambazi?

Ujinga mtupu.
 
Duu! japo sifurahii Sabaya afungwe miaka 30, lakini kwa mtazamo wangu ni bora wamfunge hata miaka michache wanaweza kumuongezea usalama dhidi ya maadui zake kuliko kinyume chake! Kwa unyama alowafanyia watu wengi kuna uwezekano watu wakaamua kufanya nae plea bargaining kwa kivyao!
Hakuna wa kumbugudhi.
 
Utamfanya nini?

Panya road tu wanawapeleka puta
Ndugu mm hata kumsogelea siwezi.
Ila Karma ndo ina majibu yote.

Ukitenda haki utalipwa.

Ukitenda dhulma utalipwa.

Haachwi mtu hakiachwi kitu,malipo kwa kika angle yapo.
Karibu.
 
View attachment 2213874
Wakili wa upande wa utetezi Moses Mahuna akieleza kuhusu Sabaya na wenzake
kushinda rufaa yao na kuachiliwa huru katika Mahakama Kuu Kanda ya Arusha.

View attachment 2213907

Sabaya na wenzake watatu wamebakiza ngwe moja ya hukumu ya kesi ya uhujumu uchumi baada ya Mahakama Kuu ya kumwachia huru muda huu. Warufani wengine katika kesi hiyo ni Silvester Nyegu na Daniel Mbura, waliokuwa wakikabiliwa na mashtaka matatu ya unyang'anyi kwa kutumia silaha.

Oktoba 15, mwaka 2021, Hakimu Mwandamizi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha, Odira Amworo, alimtia hatiani Ole Sabaya na wenzake kuhukumiwa kifungo cha miaka 30 jela.

View attachment 2213863
Ole Sabaya wakati akifikishwa Mahakamani kusikiliza rufaa yake Mei, 2022

Pia, soma=> Lengai Ole Sabaya na Wenzake wawili wahukumiwa miaka 30 Jela kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha
Mungu ni mwema sana ,haki ya mtu haipotei, huyu alitolewa kafara sababu ya kutaka kumkomoa kisa Mr Culture akatumia urafiki wake na Born town kumlazimisha CEO.
 
Atakuja sawa mtaaani ila ataishi kama digi digi yule mwengine wa Daslam.
Ardhi hii ba ndugu inapaswa uikanyage kwa adabu,sana.
Ipo siku utaogopa hata vishindo vya miguu yako mwenyewe.
Hawezi ishi ka digidigi atatembea kifua mbele mtaa
 
View attachment 2213874
Wakili wa upande wa utetezi Moses Mahuna akieleza kuhusu Sabaya na wenzake
kushinda rufaa yao na kuachiliwa huru katika Mahakama Kuu Kanda ya Arusha.

View attachment 2213907

Sabaya na wenzake watatu wamebakiza ngwe moja ya hukumu ya kesi ya uhujumu uchumi baada ya Mahakama Kuu ya kumwachia huru muda huu. Warufani wengine katika kesi hiyo ni Silvester Nyegu na Daniel Mbura, waliokuwa wakikabiliwa na mashtaka matatu ya unyang'anyi kwa kutumia silaha.

Oktoba 15, mwaka 2021, Hakimu Mwandamizi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha, Odira Amworo, alimtia hatiani Ole Sabaya na wenzake kuhukumiwa kifungo cha miaka 30 jela.

View attachment 2213863
Ole Sabaya wakati akifikishwa Mahakamani kusikiliza rufaa yake Mei, 2022

Pia, soma=> Lengai Ole Sabaya na Wenzake wawili wahukumiwa miaka 30 Jela kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha
Kijana wa watu ameonewa sana, haki ya mtu haipotei.
 
Mbona kama huyo Makonda kila siku huwa unalialia humu kwamba kwanini hakamatwi?

Ok, una noma na nani sasa maana unasema mama anaupiga mwingi, anafuta legacy, anawakomesha sukuma gang huku akiwafuta machozi machadema baada ya kuinewa sana kwa miaka 5?
Ni roho mbaya tu za watu kutaka jamaa azidi kuteseka zaidi wakati mateso anayopitia saizi bado yamekuwa too heavy to handle

Nina noma kama mhakama itatoa kibali cha kumfufua yule kibopa
 
Back
Top Bottom