Lengai Ole Sabaya ashinda rufaa na kuachiwa huru na Mahakama Kuu ya Arusha
Nakiri kupokea kias Cha shilingi laki Saba kutoka kwa sabaya na cjafanya Kaz aliyoniekeza kufanya
Nawaza Happ akiwa huru mtaani na anajuwa naish wapi s atakuja kuni eliminate kbsa
 
Sabaya ataendelea kukaa jela, ana kesi nyingine ya uhujumu uchumi na akikutwa na hatia hukumu yake ni miaka 30.

Mkae kitako kwa kutulia, huu ni mtego wa panya, andaeni rufaa nyingine.
Si mnasema aliwabaka?

Jiandaeni sasa!

Vipi mama anaupiga mwingi ee?
 
Huyu sina noma naye kwasababu saizi hana makali ni kama makonda tunavyomuona akichezewa kende hadi na kina manara
Mbona kama huyo Makonda kila siku huwa unalialia humu kwamba kwanini hakamatwi?

Ok, una noma na nani sasa maana unasema mama anaupiga mwingi, anafuta legacy, anawakomesha sukuma gang huku akiwafuta machozi machadema baada ya kuinewa sana kwa miaka 5?
 
Duu! japo sifurahii Sabaya afungwe miaka 30, lakini kwa mtazamo wangu ni bora wamfunge hata miaka michache wanaweza kumuongezea usalama dhidi ya maadui zake kuliko kinyume chake! Kwa unyama alowafanyia watu wengi kuna uwezekano watu wakaamua kufanya nae plea bargaining kwa kivyao!
 
Back
Top Bottom