Katika hali isiyo ya kawaida, vijana wa Ufipa wameanza kuwa na hofu kubwa baada ya sabaya kurudi uraiani.
Inaelezwa kuwa hawajui cha kufanya hadi sasa, ikumbukwe sabaya ndio alikua kiboko yao kwenye siasa zao za majitaka.
Sabaya alileta usawa wa kisiasa kwenye ngome zao Arusha na Moshi, hivyo kuwa mwiba mchungu hadi kwa mwenyekiti wa kudumu(mfalme).
Sabaya ni mtu safi, na mahakama imethibitish. Lakini sabaya sio mtu safi kwa wanasiasa wa Ufipa waliojaaa uongo, uzushi, na ubabaishaji wa kila aina.
Hivyo ni vizuri wakaelewa huu utakua mwisho wa uongo na uzushi wao baada ya Jemedari Sabaya kurudi uraiani.
Na hakika mahakama zipo huru kabisa na zimefanya kazi yake vizuri.
#SSH 2025# KAZI IENDELEEEEE#