Lengai Ole Sabaya ashinda rufaa na kuachiwa huru na Mahakama Kuu ya Arusha
Mbona sikuelewi, hukupenda alivyokuwa treated ukiamini alionewa halafu unasikitika kwanini wamemuachia huru wakati huu!
 
Ole Sabaya Ameshinda Rufaa Yake Dhidi ya Jamhuri.
.
Jaji Wa Mahakama Kuu anashangaa aina ya Hukumu iliyoandikwa na Mhe. Odira ambyo ilikuwa haina Hata Legal Citation Wala Case Authorities za Kujenga hoja yake Dhidi ya Hukumu yake.
.
Jaji anasema Hukumu yoyote Ambayo Haina Case Authorities au Legal Citation Hyo Sio Hukumu Bali ni Mawazo binafsi ya Mwandika Hukumu.
.
Asante Sana adv. Majura Magafu Kwa Ushindi Huu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ilikuwa kesi ya kisiasa.
 
2BA7F0B9-65E8-432C-A46A-F2FB75B37F56.jpeg

Aisee Judiciary System ya Tanzania iko very Corrupt huyu atatafutiwa njama za kuuawa huyu katesa na kuteka watu wengi sana tena kwa kutumia vitendea kazi vya Serikali !! This is not right something is wrong here
 
Back
Top Bottom