Lengai Ole Sabaya ashinda rufaa na kuachiwa huru na Mahakama Kuu ya Arusha
Jaji aliyekuwa akisikiliza rufaa hiyo, Ezedekia Kisanya amesema kulikuwa na mkanganyiko kwenye mwenendo wa usikilizwaji wa kesi hiyo ikiwemo kutofautiana kwa mashahidi na kuufanya ushahidi kuwa batili.
Kwamba pamoja tuhuma zote ameachiwa huru .Bado ataendelea kuwepo magereza kwa sababu ana kesi nyingine
 
Back
Top Bottom