Lengai Ole Sabaya ashinda rufaa na kuachiwa huru na Mahakama Kuu ya Arusha
Kwamba pamoja tuhuma zote ameachiwa huru [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndiyo, Kuna mtu alituhumiwa kuchoma vituo vya mafuta na ku block barabara na kufadhili ugaidi ili nchi isitawalike. Pamoja na tuhuma zote lakini aliachiwa huru.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Ole Sabaya Ameshinda Rufaa Yake Dhidi ya Jamhuri.
.
Jaji Wa Mahakama Kuu anashangaa aina ya Hukumu iliyoandikwa na Mhe. Odira ambyo ilikuwa haina Hata Legal Citation Wala Case Authorities za Kujenga hoja yake Dhidi ya Hukumu yake.
.
Jaji anasema Hukumu yoyote Ambayo Haina Case Authorities au Legal Citation Hyo Sio Hukumu Bali ni Mawazo binafsi ya Mwandika Hukumu.
.
Asante Sana adv. Majura Magafu Kwa Ushindi Huu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kuna kitu msahaulishwa hapa hasa kuhusu mafuta mjadala unahama mkija kushtuka mmeshazoea😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom