Lengai Ole Sabaya ashinda rufaa na kuachiwa huru na Mahakama Kuu ya Arusha
Serikali ya CCM ni wajanja sana. Yaani wameona watu wanapiga kelele kuhusu mafuta kupanda. Tayari wanaleta drama nyingine ya kuwapumbaza wananchi ili wasahau ya Mafuta. Kudadeki this time lazima tuite maji mmmaaa
Mmhhh, hukumu ya rufaa ilipangwa kabla ya mafuta kupanda, wala haina mahusiano na mjadala wa bei ya mafuta. Haya maneno ndio ccm huyatumia kujifanya ni wajanja kumbe upuuzi mtupu.
 
Hawezi ishi ka digidigi atatembea kifua mbele mtaa
Screenshot_20220506-150632_Gallery.jpg
 
CCM wajanja, wameamua kuwahamisha kutoka kujadili bei ya mafuta hadi kumjadili Sabaya
Janja janja hizi...
Alafu kwa asiyejua systems zetu ndo atajiuliza inakuwaje...
In short kuanzia polisi hadi mahakamani na hata gerezani... haki inauzwa... ukufika bei unapewa!
 
Sawa hata akiachiwa huru Bado yupo na kesi nyingine sita ikiwemo ya kukata watu masikio

[emoji28][emoji28][emoji28] mkuu bhna any way vitu vingne sio vya kuchukulia siliaz sana afungwe,aachiwe wala haina ishu sana relax tu
 
Hata hivyo amechakazwa marinda kiasi cha kutosha, hongera yao waliomfaudu.
 
Labda alibaka maboya, angekosea aingie kwenye 18 yangu angejuta kunifahamu.
Nyie ndio mlisema, Kama ww hukubakwa basi shukuru tu pengine zamu yako haikufika.
Muulize pambalu na wengine
 
Panya road msiofu mtashinda tu na nyie mshapata jinsi ya kushinda kesi
 
Sabaya ni bonge la kiongozi, mama mpe Ka kitengo hapo Ikulu akunyoshee wahuni, ikipendeza mpe ukuu wa mkoa wa DSM kama miez miwili hivi akusafishie panya road, then umrudishe chawa wako Makala the great
Choko kweli wewe.
 
Tulisema wakabisha, aya sasa tunakubaliana kuwa jela zipo kwaajili ya maskini tu
 
Back
Top Bottom