Nchi ina Viongozi vipofu wasioona maisha ya Wananchi waoWatanzania ki ukweli wanajuwa kuzimwa wakihemka kwa tatizo lolote kwa kuletewa jambo jingine Tata ili watoke kwenye reli na hii serikali ya CCM.
Issue ya mafuta ya Petrol ilikuwa imefika hatua mbaya na tishio kwa serikali hii, lakini kilichotokea kama yatokeavyo mengine ni kuwa Hukumu ya Sabaya ikaonekana ifanywe sababu.
Ili watu wachukie, ni kumuagiza Jaji aende kinyume na jambo lililo wazi kuhusu kesi hiyo na mjadala wenye hasira utaondoka kwenye ongezeko la bei ya Petrol na kuhamia kwa Sabaya.
Hakika CCM inajua kuwachezea Watanzania!
Ni Aibu kwa serikali kumuachia Mbowe ambaye ni mwenyekiti wa chama cha siasa cha CHADEMA nchini Tanzania.Binafsi naiona ni AIBU KUBWA kwa Ofisi ya DPP kushindwa KESI YA WIZI wa KUTUMIA SILAHA na NGUVU iliyokuwa inamkabili MTEULE wa RAIS DC SABAYA
KESI ilitakiwa iwe KIELELEZO na FUNDISHO kwa Wateule Wa RAIS wanaotumia MADARAKA YAO Vibaya kwa
KUTESA
KUPIGA
KUONEA
KUDHURUMU WANANCHI na KUWAUA kama alivyofanya DC SABAYA lakini Uzembe na Kutokuwa Makini kwa MAWAKILI wa SERIKALI wameshindwa KESI na SABAYA
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Acha kulia kuliaWatanzania ki ukweli wanajuwa kuzimwa wakihemka kwa tatizo lolote kwa kuletewa jambo jingine Tata ili watoke kwenye reli na hii serikali ya CCM.
Issue ya mafuta ya Petrol ilikuwa imefika hatua mbaya na tishio kwa serikali hii, lakini kilichotokea kama yatokeavyo mengine ni kuwa Hukumu ya Sabaya ikaonekana ifanywe sababu.
Ili watu wachukie, ni kumuagiza Jaji aende kinyume na jambo lililo wazi kuhusu kesi hiyo na mjadala wenye hasira utaondoka kwenye ongezeko la bei ya Petrol na kuhamia kwa Sabaya.
Hakika CCM inajua kuwachezea Watanzania!
Huna ubavu wa kumfanya Sabaya lolote!Muachieni kabisa wala hakuna haja ya kutumia kodi zetu kuendeleza shauri lolote dhidi yake. Tunafahamu wazi sasa ni kiini macho proper. Mahakama yetu wananchi ilisha mtia hatiani zamani mno. Makosa ya kubaka binti zetu ishirini na mwingine ni bint yangu mwenyewe aliyekuwa anasoma chuoni Arusha. Ameua watu kumi maCHAame na naruMU. Aliwalawiti vijana watatu na kuwatupa kikatiti. Ametesa watu kuliko shetani mfano mmoja ni wale aliowakata manikin na wengine kuwapigilia misumari miguuni. Yule aliyeingizwa chupa sehemu za siri bado yupo.
Hukumu yake ilitoka zamani nayo ni kifo. Ahsante mahakama kwa kumuachia na karibu sabaya Arusha, Moshi, Hai, kibosho, Machame. Karibu Dar, karibu kaskazini, kusini mashariki au mangharibi TUPE FURSA YA KUTEKELEZA HUKUMU YETU WAATHTIRIWA. sasa tupo tayari kwa lolote.
Mbowe alipoachiwa nipo katika rekodi nikisema mfumo mzima wa mahakama ni mbovuMbowe alivyoachiwa na hao² Majaji Mahakama hazikupoteza Credibility Ila Kwa sabaya zimepoteza Sio?
Hahahahaaaaaaa sawa mkuuWakati huo hakukua na 109, alimtia kwenye buti ya Peugeot 504.
Tutafika tu. Kuna mmoja enzi za nyerere alimalizana na mbwa akamtia kwenye 109 yake akampeleka polisi akawambia Kuna mbwa kwenye gari
Asante mkuumwamwindi
Wishful thinking!Muachieni kabisa wala hakuna haja ya kutumia kodi zetu kuendeleza shauri lolote dhidi yake. Tunafahamu wazi sasa ni kiini macho proper. Mahakama yetu wananchi ilisha mtia hatiani zamani mno. Makosa ya kubaka binti zetu ishirini na mwingine ni bint yangu mwenyewe aliyekuwa anasoma chuoni Arusha. Ameua watu kumi maCHAame na naruMU. Aliwalawiti vijana watatu na kuwatupa kikatiti. Ametesa watu kuliko shetani mfano mmoja ni wale aliowakata manikin na wengine kuwapigilia misumari miguuni. Yule aliyeingizwa chupa sehemu za siri bado yupo.
Hukumu yake ilitoka zamani nayo ni kifo. Ahsante mahakama kwa kumuachia na karibu sabaya Arusha, Moshi, Hai, kibosho, Machame. Karibu Dar, karibu kaskazini, kusini mashariki au mangharibi TUPE FURSA YA KUTEKELEZA HUKUMU YETU WAATHTIRIWA. sasa tupo tayari kwa lolote.
Wait and see for yourselves dude!Wishful thinking!
Wait and see dude!Huna ubavu wa kumfanya Sabaya lolote!
Huko rombo si ndio mnakopigwa na wake zenu?
Hakutiwa hatiani na hakupelekwa magereza kama huyu mbwa wenu aliyekuwa ameanza kutumia choo cha ndoo! Narudia tena mleteni mtaani kwetu tu!Ni Aibu kwa serikali kumuachia Mbowe ambaye ni mwenyekiti wa chama cha siasa cha CHADEMA nchini Tanzania.
Katika kesi ya UGAIDI iliyokuwa ikimkabili na kuishia kumfutia mashtaka.
Pamoja na ushahidi wa mashtaka kuthibitisha kuwa Mbowe ana kesi ya kujibu mahakamani.