Lengai Ole Sabaya kachukua tabia ya Baba yake

Weka picha yake mkuu, je yupo hai?
 
yaan hipo hivo hawez kurudi tena madarakani amechezea bahati kusimamishwa ndo kufukuzwa kwenywe sasa ila waafrika hawaambiwi ukweli km wazungu
 
Hakika wewe unawafahamu vyema watu hawa.

Hakika umeongeza mwanga kwa wasiokuwa wakiwafahamu vizuri, baba na mtoto.

Kuna mambo mengi ya uonevu wanaofanyiwa wananchi na viongozi, lakini yanavungwa vungwa tu na wananchi wanakosa haki zao. Hawa viongozi wako juu kabisa ya sheria za nchi kiasi kwamba hawawezi kuwajibishwa!
 
Baba yake naye alikuwa analindwa kama Yeye. Madhambi yote hayo bado anapewa nyadhifa. Waganga wao wako vizuri
 
Habari za Thomas Ole Sabaya ( Baba mzazi wa Lengai Ole Sabaya) na ukatili wa kuchoma nyumba za Wanakijiji wa Nyamuma wengi wanazijua! Alisemwa sana kwa Rushwa na ukatili kama mwanaye Ole Sabaya Leo!

Siku zote tunasema uongozi bora huanzia ngazi ya familia! Familia ikiwa na maadili mabovu products zake pia huwa mbovu!

Watoto wako wanaona utajiri wako na mali zako unapata kwa njia za ukatili, damu ( kuua watu) na rushwa,unajisifia lakini tambua mbeleni athari zake ni kubwa na mbaya sana kwa kizazi chako!

Waziri Mkuu mmoja mstaafu aliwahi kunukuliwa akimzungumzia Lengai Ole Sabaya kwa kusema," Like a father like a son"!
 
Tabia hiyo ilikomaa enzi za jiwe.
 
Mbona mke wa sumaye ni mchaga ndugu,ukweli upo hapa kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…