Lengai Ole Sabaya kachukua tabia ya Baba yake

Dada yake mmoja nilimuona Songea wakati baba yake akiwa DC mtoto mzuri mweupe,mama yao naye ni mweupe.
 
Kumbe kalikua kaenda kunywa chai kwa PM hapo kiluvya aisee
 
Nimemaliza pale 1994, tukienda kulima mashamba ya shule kyarano kwa miguu, mademu wanapanda kenta (nothing but the best) na trekta. Miaka yenda mbio kweli, oktober 2 ndio tumeimalizia ikiwa mwishoni kabisa hahaha.
 
ingeleta utu, woga, NIDHAMU pia
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Hawa nadhani ukoo wao wote umelaanika. Haistahili kuteua wala kuchagua kwenye nafasi yeyote ya kuwa kiongozi kutoka kwenye ukoo huu wa laana.
 
Kumbe nyoka azae chura?Sabaya ni mwana wa nyoka kwa kuwa baba yake alikuwa joka.
Hawa ndio viongozi ambao wanatengenezwa na CCM
 
Hawa nadhani ukoo wao wote umelaanika. Hakustahili kuteuliwa wala kuchaguliwa yeyote kuwa kiongozi kqenye ukoo huu wa laana.
Aina hii ndo yule bwana ndie aliwataka
 
Picha ya dada tafadhari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…