Lengai Ole Sabaya kachukua tabia ya Baba yake

Ona sasa kaburi limechimbuliwa. Kumbe familia ya Sabaya ni ya laana. Laana zinawatafuna.
 
Mr. Mkiki nimekumbuka ile thread yako ilikaribia kupasua simu zetu hapa JF..."Anayejua Anakotupeleka Magufuli naona kama tumepotea"

Uliona mbali sana Mkuu; Kwa kweli Mungu ni mwema
Ile nyuzi ilikuwa ya Mr Mkiki?
 
Mr. Mkiki nimekumbuka ile thread yako ilikaribia kupasua simu zetu hapa JF..."Anayejua Anakotupeleka Magufuli naona kama tumepotea"

Uliona mbali sana Mkuu; Kwa kweli Mungu ni mwema
LORI LILIKUWA linadumbukia kitonga, hali ilikuwa mbaya sana.
 
Kumbe nyoka azae chura?Sabaya ni mwana wa nyoka kwa kuwa baba yake alikuwa joka.
Hawa ndio viongozi ambao wanatengenezwa na CCM
Nchi hii inahitaji watu wahiv maana vijana wamelala sana, mkipata kashikash hata ccm mtaitoa magogon
 
Na leo hii Mzee huyu ameteuliwa kugombea Uenyekiti wa CCM
 
Na leo hii Mzee huyu ameteuliwa kugombea Uenyekiti wa CCMAliyeteuliwa
Aliyeteuliwa na Baba yake Ole Sabaya-Mtekaji na jambazi ambaye hajatiwa hatiani kutokana na ukilaza wa mawakili wa serikali lakini si kutokana na kutotenda.
Mahakama imejiridhisha alikuwa anavamia maduka kwa silaha ila mahakama ikasema ni sawa maana alikuwa anatafuta wakwepa kodi.
Je, sasa wakuu wote wa wilaya wapewe AK-47 waingie Kariakoo na kwengineko kukusanya kodi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…