Waasema eti wamefunhwa jumla miaka 30 so wanagawana wote so ni kama saba saba kila mmojaLifungwe maisha
nakusomaa btn line mkuuHuu mchezo umekaa kimkakati sana.
Bado naamini jamaa atatoka.
Kuna watu wanabeba credit for now. ! Tukisahau atarudi mtaani soon.
Kinachotakiwa mlete ushahidi usio na mashaka, sio mnatuletea wezi/wauaji kina kingai na mahita kuwa ndio mashahidiKubalansi wote Kuachiwa imeshindikana hivyo balansi inayofanyika sasa ni Wote kwenda Jela ili Jumuiya ya Kimataifa ione kuna Haki na hakuna anayeonewa Tanzania.
kawaulize ma Judge😂Kwa sheria gani bwashee?!
Bush lawyer at your best😂Wote kwa pamoja
Who is that? Yule was vijisenti au nani, nijuavyo hamkuwahi kumfungulia mashitakaMakengeza is next!
Sabaya amejitetea kishamba sana Leo, Bado anasema alifanya uovu kwa kuwa Alitumwa na Mamlaka ya uteuzi
Utetezi wa pili anasema ana mchumba, Hivi mchumba ndio anakutuma udharau wananchi
Hivi kuharibu Mashamba, Kupora Mali za watu na kunajisi mabinti ndio mamlaka ilimtuma upuuzi huo
Mambo yamekuwa mambo, Katika hii dunia usimtegemee mwanadamu mwenzako Katika maamuzi
Paul Makonda ajipange, kuna siku na muda watu watataka haki zao
Acha mteroTake a note from this post/thread, hukumu hii kuna kitu inataka kuhalalisha. Watamfunga Mbowe!
Then baadaye Sabaya will be pardoned!
Huu mchezo umekaa kimkakati sana.
Bado naamini jamaa atatoka.
Kuna watu wanabeba credit for now. ! Tukisahau atarudi mtaani soon.
Mbaya Zaidi Sabaya anakwenda kuwa shahidi..
Mbowe amebambikiwa kesi lakini Sabaya ni kesi ya kweli lakini Hakimu katoa Adhabu ndogo sana kwa Sabaya kinyume na matendo yakeMahakama imetenda haki ee?
Sidhani kama walijitoa mkuu.Okey.. Ahsante
Hao wengine walijitoa akabaki Mahuna peke yake AU?