Lengai Ole Sabaya na Wenzake wawili wahukumiwa miaka 30 Jela kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha

Lengai Ole Sabaya na Wenzake wawili wahukumiwa miaka 30 Jela kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha

Mbowe ni 30+ hahaha aisee ni nouma. Waliokuwa wanashangilia ya Sabaya sasa tusubiri tena ya Mbowe
 
Tunawaomba itakapofika zamu ya Mkiti watoe ushirikiano kama wa leo
 
Sabaya amejitetea kishamba sana Leo, Bado anasema alifanya uovu kwa kuwa Alitumwa na Mamlaka ya uteuzi

Utetezi wa pili anasema ana mchumba, Hivi mchumba ndio anakutuma udharau wananchi

Hivi kuharibu Mashamba, Kupora Mali za watu na kunajisi mabinti ndio mamlaka ilimtuma upuuzi huo

Mambo yamekuwa mambo, Katika hii dunia usimtegemee mwanadamu mwenzako Katika maamuzi

Paul Makonda ajipange, kuna siku na muda watu watataka haki zao

Huyo Mpuuzi ameharibu sana uchumi wa wafanyabiashara ili amridhishe mchumba wake.
 
Kwa mwenendo wa kesi ya Mbowe na ushahidi ulipofikia hakuna jinsi mahakama itaweza kufanya kupitisha hukumu.

Upindishaji wa haki upo ila sioni bado uchochoro wa judge kupita ili Mbowe nae ale mvua.
 
Back
Top Bottom