Lengo la Lissu ni kuua ndege wawili kwa wakati mmoja. Wenye akili tumemuelewa, ila wasio na akili hawajamuelewa

Angalau wewe unaonekana kukomaa akili na kuandika mambo yanayoeleweka.

Wengine wanaishia kubweka tu bila kujua hata kile wanachokiandika wenyewe.
 
ni kweli watanzania wa leo siyo wa kipindi kile wanamwelewa sana Lissu na atafanikiwa
 
shikilia matawi huko juu Mkuu hali ni mbaya huku Lissu anawafunguwa macho na hana cha kupoteza...

Cha msingi tazama utakapo angukia
 
Usikute na wewe ni baba wa familia ndio umechambua kwa uwezo wa ubongo wako wote
 
TAKUKURU wamefikia wapi kumchunguza huyo mama aliyetajwa?
Uchunguzi unaendelea japo mtoa shutuma huenda akakwepa kutoa ushirikiano kwa kuhofia kumgusa namba 1 wake wa chama.

Maana yanaweza kumkuta yaliomkuta Chacha Wangwe akaiacha familia yake na ukiwa wa kujitakia.
 
Usikute na wewe ni baba wa familia ndio umechambua kwa uwezo wa ubongo wako wote
Ni kweli hujakosea, mimi ni baba wa familia ninaeona mbali na kuongea ukweli.

Tofauti na wewe mama wa familia unaogopa kufunguka ili usilimwe talaka na anaekuweka.
 
Kuna njama za Mbowe kummaliza Lissu,ila lissu kambana mbavu mbowe,go lissu go.
 
Akipewa uenyekiti jukumu lake la kwanza ni kuhakikisha Bavicha wote wanakuwa "upinde" kama yeye
 
Ni kweli hujakosea, mimi ni baba wa familia ninaeona mbali na kuongea ukweli.

Tofauti na wewe mama wa familia unaogopa kufunguka ili usilimwe talaka na anaekuweka.
Maisha hayajakupa kile unachokitaka jitahidi kuwa mwanaume acha kusimama kwenye uvulana
 
Uchunguzi unaendelea japo mtoa shutuma huenda akakwepa kutoa ushirikiano kwa kuhofia kumgusa namba 1 wake wa chama.

Maana yanaweza kumkuta yaliomkuta Chacha Wangwe akaiacha familia yake na ukiwa wa kujitakia.
Unaposema uchunguzi unaendelea, unamaanisha huyo mama ameshatiwa nguvuni?
 
Wenye akili hatunamuelew ila ambao ham akili mmemuelewa
 
Unaposema uchunguzi unaendelea, unamaanisha huyo mama ameshatiwa nguvuni?
Unamkamataje mtu bila kujua kuwa alieongea ameongea kweli au ametumia siasa kudanganya kama alivyodanganya kwa Lowasa. Wewe unafikiri hao wachunguzi hawamjui jamaa kama ni muongo muongo anaeangalia upepo unaenda wapi ili afaidishe tumbo lake?
 
Sisi tunangoja majibu ya hoja za Lissu,ndipo tutaelewa mambo mengine!
 
Unamkamataje mtu bila kujua kuwa alieongea ameongea kweli au ametumia siasa kudanganya kama alivyodanganya kwa Lowasa. Wewe unafikiri hao wachunguzi hawamjui jamaa kama ni muongo muongo anaeangalia upepo unaenda wapi ili afaidishe tumbo lake?
Sasa huyo mama, Lissu wasipoitwa kuhojiwa na TAKUKURU, tutajuaje ikiwa ni uongo au Kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…