Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namba ya simu ndo rahisi zaidSasa ukiwa na stress si tunazamia Piemuuu
Barikiwa kwa ujumbe huuYeah,basi ya-face yanayokukabili huku ukiupa muda kazi yake
Kama unaona kabisa huna namna ya kuzuia lazima litokee relax ,Just focus on how you'll find peace after huo msongo wa mawazo na aibu . And let it flows🙌Hakika yatapita lkn nina imani huenda yakaniachia msongo wa mawazo ambao sijawahi kuupitia ktk maisha yngu aibu ninayoenda kukabiliana nayo ni kubwa
uko sahihi sisterKama unaona kabisa huna namna ya kuzuia lazima litokee relax ,Just focus on how you'll find peace after huo msongo wa mawazo na aibu . And let it flows🙌
Hey people,
Leo katika pita pita za hapa JF nimekutana na moja ya nyuzi nyingi za marehemu,mwanaJF mwenzetu Mpauko ambazo kwa namna moja ama nyingine alizianzisha kwa lengo la kupata msaada
Binafsi huyu member nilizoeana nae kidogo humu jukwaani na ni moja ya kifo kilichoniumiza japo sikuwahi kumfahamu zaidi ya kutumiwa picha yake moja ambayo hadi sasa ninayo
Ajabu ni kwamba huyu marehemu alishawahi kuniPM kuniomba msaada wa jambo fulani lakini PM yake nilikuja kuisoma baada ya uzi wa kifo chake kuwekwa humu sijajua ni kwa namna gani niliacha kusoma PMs chache nilizokuwa nazo kwa wakati ule na sio kawaida yangu(huwa najitahidi kusoma PMs zote kwa wakati)
Lengo la uzi ni kuendelea kukumbushana kutenda wema hata kama mtu humjui,kiufupi hai-cost chochote kuwa mwema,mimi nitajitahidi
Akiwepo mtu anajiona hana wa kumsikiliza, Joanah nipo kwa ajili ya kila mtu,karibuni aseee
Kwa yoyote anayepitia magumu kiafya,kiuchumi ama kinamna yoyote usikate tamaa,yatapita.....mimi naomba 2025 ikawe ya heri kwa kila mtu
Cheers to 2025 🥂
View: https://youtu.be/ro-8dhLL6IU?feature=shared
Mpe tu kwani si ndio faraja yake?Kwa hiyo umeamua kunikalia kooni? 😂😂
Yeah ni kweliuko sahihi sister
Hey people,
Leo katika pita pita za hapa JF nimekutana na moja ya nyuzi nyingi za marehemu,mwanaJF mwenzetu Mpauko ambazo kwa namna moja ama nyingine alizianzisha kwa lengo la kupata msaada
Binafsi huyu member nilizoeana nae kidogo humu jukwaani na ni moja ya kifo kilichoniumiza japo sikuwahi kumfahamu zaidi ya kutumiwa picha yake moja ambayo hadi sasa ninayo
Ajabu ni kwamba huyu marehemu alishawahi kuniPM kuniomba msaada wa jambo fulani lakini PM yake nilikuja kuisoma baada ya uzi wa kifo chake kuwekwa humu sijajua ni kwa namna gani niliacha kusoma PMs chache nilizokuwa nazo kwa wakati ule na sio kawaida yangu(huwa najitahidi kusoma PMs zote kwa wakati)
Lengo la uzi ni kuendelea kukumbushana kutenda wema hata kama mtu humjui,kiufupi hai-cost chochote kuwa mwema,mimi nitajitahidi
Akiwepo mtu anajiona hana wa kumsikiliza, Joanah nipo kwa ajili ya kila mtu,karibuni aseee
Kwa yoyote anayepitia magumu k
Asante mkuuUmejifunza kwa gharama kubwa kiasi chake, pole.
Asante pia kwa uzi huu, huu ni mwisho wa mwaka ambapo karibu kila mmoja wetu anafanya tathmini.
Hii ni bora maana inakuwa fundisho kwetu sote.
Lengo c n kusaidia bc fanya hvyKwa hiyo umeamua kunikalia kooni? 😂😂
Na ikawe hivyo rafiki.Asante mkuu
Ni kweli
Jumatano ya tarehe 1/1/2025 itakuwa ni siku kama siku zingine lakini kimkakati inaweza kuwa kama mwanzo mzuri wa baada ya kujitathimini na ku-plan for a better new start
Hey people,
Leo katika pita pita za hapa JF nimekutana na moja ya nyuzi nyingi za marehemu,mwanaJF mwenzetu Mpauko ambazo kwa namna moja ama nyingine alizianzisha kwa lengo la kupata msaada
Binafsi huyu member nilizoeana nae kidogo humu jukwaani na ni moja ya kifo kilichoniumiza japo sikuwahi kumfahamu zaidi ya kutumiwa picha yake moja ambayo hadi sasa ninayo
Ajabu ni kwamba huyu marehemu alishawahi kuniPM kuniomba msaada wa jambo fulani lakini PM yake nilikuja kuisoma baada ya uzi wa kifo chake kuwekwa humu sijajua ni kwa namna gani niliacha kusoma PMs chache nilizokuwa nazo kwa wakati ule na sio kawaida yangu(huwa najitahidi kusoma PMs zote kwa wakati)
Lengo la uzi ni kuendelea kukumbushana kutenda wema hata kama mtu humjui,kiufupi hai-cost chochote kuwa mwema,mimi nitajitahidi
Akiwepo mtu anajiona hana wa kumsikiliza, Joanah nipo kwa ajili ya kila mtu,karibuni aseee
Kwa yoyote anayepitia magumu kiafya,kiuchumi ama kinamna yoyote usikate tamaa,yatapita.....mimi naomba 2025 ikawe ya heri kwa kila mtu
Cheers to 2025 🥂
View: https://youtu.be/ro-8dhLL6IU?feature=shared
Tujitahidi kupunguza unafiki watanazania na tupendane
Mpauko Kama aliwafata PM mkamlia buyu sasa Leo unakumbushia ili iweje
kivip madamIla nyie inaogopesha,.
Sawa sisi ni ndugu na ubarikiwe Sana umeandika issue sensitive Sana .Leo tunakumbushia ili tukumbushane siku nyingine tusilie buyu(kama unavyodai) PMs za namna ile
Si umesoma title ya uzi lakini?
Sisi ni binadamu na tunajifunza kutokana na makosa, tusamehe kwa kumlia buyu japo sio kweli