Lengo la uzi ni kuendelea kukumbushana kutenda wema hata kama mtu humjui

Hakika yatapita lkn nina imani huenda yakaniachia msongo wa mawazo ambao sijawahi kuupitia ktk maisha yngu aibu ninayoenda kukabiliana nayo ni kubwa
Kama unaona kabisa huna namna ya kuzuia lazima litokee relax ,Just focus on how you'll find peace after huo msongo wa mawazo na aibu . And let it flowsπŸ™Œ
 
Umejifunza kwa gharama kubwa kiasi chake, pole.
Asante pia kwa uzi huu, huu ni mwisho wa mwaka ambapo karibu kila mmoja wetu anafanya tathmini.
Hii ni bora maana inakuwa fundisho kwetu sote.
 
Mambo mengine bora ukae kimya Kama Mbowe kuliko kuigiza na uongo ili kujifanya ulitaka kusaidia

Kusaidia watu ni moyo wa mawimbi wanao wachache
 
Umejifunza kwa gharama kubwa kiasi chake, pole.
Asante pia kwa uzi huu, huu ni mwisho wa mwaka ambapo karibu kila mmoja wetu anafanya tathmini.
Hii ni bora maana inakuwa fundisho kwetu sote.
Asante mkuu
Ni kweli
Jumatano ya tarehe 1/1/2025 itakuwa ni siku kama siku zingine lakini kimkakati inaweza kuwa kama mwanzo mzuri wa baada ya kujitathimini na ku-plan for a better new start
 
Asante mkuu
Ni kweli
Jumatano ya tarehe 1/1/2025 itakuwa ni siku kama siku zingine lakini kimkakati inaweza kuwa kama mwanzo mzuri wa baada ya kujitathimini na ku-plan for a better new start
Na ikawe hivyo rafiki.
 
Aamina
 
Tujitahidi kupunguza unafiki watanazania na tupendane

Mpauko Kama aliwafata PM mkamlia buyu sasa Leo unakumbushia ili iweje

Leo tunakumbushia ili tukumbushane siku nyingine tusilie buyu(kama unavyodai) PMs za namna ile
Si umesoma title ya uzi lakini?

Sisi ni binadamu na tunajifunza kutokana na makosa, tusamehe kwa kumlia buyu japo sio kweli
 
Sawa sisi ni ndugu na ubarikiwe Sana umeandika issue sensitive Sana .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…