Lengo la uzi ni kuendelea kukumbushana kutenda wema hata kama mtu humjui

Ngoja na Mimi nianze kuwa mtu mwema.
 
"Everyday plant a good seed that will grow to other "

Goodness has no substitution.

Don't ignore any opportunity to help someone else , the next person who need help could be you.

Rip Mpauko
 
Umeongea vema sana.lingine tujifunze kusamehe na kupeana second chance.mkuu mm nimechagua kusamehe Ili maisha yangu yawe marefu coz every new day is a second chance.
 
Umeongea vema sana.lingine tujifunze kusamehe na kupeana second chance.mkuu mm nimechagua kusamehe Ili maisha yangu yawe marefu coz every new day is a second chance.

Kabisa mkuu
Ukisamehe unakuwa huru
 
Mungu azidi kukuinuq ili uwe msaada kwa wengine.

Kwenye maisha ukipata nafasi ya kumpa mtu msaada ulio ndani ya uwezo wako, fanya hivyo bila kutatqjia ujira ama faida
 
Niliwahi kukutafuta inbox ila hukunijibu i was down na nilikua nahitaji msaada wa mawazo tu ila sijawah kujibiwaga and we did meet back days ila usijali nilipita japo kwa ugumu ila GOD ni mwema…hope ukichek your inbox you will find.
 
Pole sana mkuu kwa uliyopitia

PM yako uliituma 2 October 2024,mimi nilikuja kuingia JF na kuisoma 22 December 2024 huku ikiwa haina option ya kureply....sijui uliifuta ama ni kwanini sina access ya kureply hiyo PM

Hata hivyo; PM haikuzungumzia wewe kuwa down bali kuhusu wewe na mimi tulikutana miaka hiyo Arusha wakati nauza duka la vifaa vya nyumba( Umechanganya IDs )
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…