Lengo lenu nini mnao wakataz wake zenu kufanya kazi?

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
25,258
Reaction score
48,589
Mnafact ipi inayo wafanya kuwazuia wake zenu kufanya kazi au kufanya biashara wengine mme waachisha wake zenu kazi mliwakuta wameajiriwa lakini baada ya kuwaoa mmewapiga pini wasijushugulishe na kazi.

Mnaongeza idadi ya magoli kipa kuwa wengi mwisho wa siku mkija kufa mashemeji na mawifi ndio wana pata shida kutunza familia mbili.
 
Tuna maono na mitazamo tofauti. kiasi kila mtu abaki na misimamo yake.

Hivi Mke akiwa goli kipa shida ni yako au ya mume wake?
 
Mnafact ipi inayo wafanya kuwazuia wake zenu kufanya kazi au kufanya biashara wengine mme waachisha wake zenu kazi mliwakuta wameajiriwa lakini baada ya kuwaoa mmewapiga pini wasijushugulishe na kazi.

Mnaongeza idadi ya magoli kipa kuwa wengi mwisho wa siku mkija kufa mashemeji na mawifi ndio wana pata shida kutunza familia mbili.
Nilicho kuja kugundua kua Maisha yanaitaji sacrifice...unajua wanawake kina mama huwa Wana foregone their dreams kwa ajir ya watoto wao na Kuna malengo huwezi pata/ timiza sababu ya kua mzazi / mlezi..

Tunapambana Sana kuwa watu tunao taka kua / Ila huwezi KUISHI double life....MWANAMKE MWENYE KAZI VS MALEZI YA WATOTO/ KUHUDUMIA FAMILIA.

NB.
Mke wangu simamia business zetu na malezi ya familia..swala la kufanya kazi sijui kuajiliwa hapana.
 
Mwanamke hawezi kuwa submissive kwa wanaume wawili au zaidi - wewe na boss wake.

Ni either awe submissive kwako (awe goalkeeper) au submissive kwa boss wake (aajiriwe). Uamuzi ni wako.

Kuhusu kuteseka ukifa haina uhusiano wowote kama utacheza nafasi yako vizuri kama mwanaume.
 
Wengine ni wivu tu,akiwaza alichowafanya Baltazary, anawaza kua na mkewe itakua ni hivyohivyo, ingawa ni ukweli kua UNATAKIWA USIWE NA WIVU,mfano mkeo labda ni nesi au askari,kuchapiwa ni kawaida sana.
Kwamba mke wake ndio mzuri zaidi dunian kote hakuna? Ni upumbavu mwanamke akiamua kuchepuka anachepuka vizur
 
Nilicho kuja kugundua kua Maisha yanaitaji sacrifice...unajua wanawake kina mama huwa Wana foregone their dreams kwa ajir ya watoto wao na Kuna malengo huwezi pata/ timiza sababu ya kua mzazi / mlezi..

Tunapambana Sana kuwa watu tunao taka kua / Ila huwezi KUISHI double life....MWANAMKE MWENYE KAZI VS MALEZI YA WATOTO/ KUHUDUMIA FAMILIA.

NB.
Mke wangu simamia business zetu na malezi ya familia..swala la kufanya kazi sijui kuajiliwa hapana.
Mtoto kumlea unamlea katika hali yoyote ile na atapata malezi bora wangapi tunaona wake wamefanya ni walezi wa watoto ila watoto wamekuwa mivuta bangi na mama zao wanawalea
 
Mnafact ipi inayo wafanya kuwazuia wake zenu kufanya kazi au kufanya biashara wengine mme waachisha wake zenu kazi mliwakuta wameajiriwa lakini baada ya kuwaoa mmewapiga pini wasijushugulishe na kazi.

Mnaongeza idadi ya magoli kipa kuwa wengi mwisho wa siku mkija kufa mashemeji na mawifi ndio wana pata shida kutunza familia mbili.
Mke ni nguzo ya jamii, nyumbani Kuna majukumu muhimu ya mwanamke katika kuimarisha ustawi wa familia.
Ikiwa si lazima ya kufa na kupona basi mke achukue jukumu la nyumbani na meanaume atafute na akidhi mahitaji yote.
Hapa hakuna golikipa au mfunga magoli bali ni kuweka familia kwanza.
 
Mwanamke hawezi kuwa submissive kwa wanaume wawili au zaidi - wewe na boss wake.

Ni either awe submissive kwako (awe goalkeeper) au submissive kwa boss wake (aajiriwe). Uamuzi ni wako.

Kuhusu kuteseka ukifa haina uhusiano wowote kama utacheza nafasi yako vizuri kama mwanaume.
Sawa ukamuachia mali akashindwa kuenedeleza inakuwaje?
 
Mke ni nguzo ya jamii, nyumbani Kuna majukumu muhimu ya mwanamke katika kuimarisha ustawi wa familia.
Ikiwa si lazima ya kufa na kupona basi mke achukue jukumu la nyumbani na meanaume atafute na akidhi mahitaji yote.
Hapa hakuna golikipa au mfunga magoli bali ni kuweka familia kwanza.
Ila anatakiwa naye afanye kazi
 
Ila anatakiwa naye afanye kazi
Nadhani kama una biashara au miradi ni vyema ahusike katika kukuza ama kuendeleza, japo siyo vyote atapata kujua.....

Hii itamjengea uwezo wa kusimamia kitu chochote ikiwa umekosa nafasi, ni mgonjwa, umekufa, au haupo karibu na miradi yako!

Hata kama Kuna wafanyakazi anakuwa msimamizi...... Apate experience ya kazi

Nina shuhuda ya hii kabisa..... watu waliokuwa wanawashirikisha wake zao kwenye biashara au miradi na kuona matunda hata ingawa hawapo duniani.....

Kuajiriwa sio kipaumbele kwa mwanamke wangu......

Ni maoni
 
E
Mnafact ipi inayo wafanya kuwazuia wake zenu kufanya kazi au kufanya biashara wengine mme waachisha wake zenu kazi mliwakuta wameajiriwa lakini baada ya kuwaoa mmewapiga pini wasijushugulishe na kazi.

Mnaongeza idadi ya magoli kipa kuwa wengi mwisho wa siku mkija kufa mashemeji na mawifi ndio wana pata shida kutunza familia mbili.
Engonga
 
Back
Top Bottom