Kama ipo ipo
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,119
- 1,728
Your life your choice, so many options outside here to me its other way around.Ndio maana sikuhizi kuna kaupepo kamepita wasichana majobless wanaolewa kwa wingi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Your life your choice, so many options outside here to me its other way around.Ndio maana sikuhizi kuna kaupepo kamepita wasichana majobless wanaolewa kwa wingi.
Ahahah kazana utampataSerious, niko naisubiri hiyo kauli mtu aniambie acha kazi mamaaa upumzike nyumbani ila sioni dalili😑
Kufa ni kufa tuHuwa kuna machaguo mawili tu sasa sisi tunachagua kilicho bora
Umwache afanye kazi/biashara awe na uchumi wa juu kukuzidi kisha akuuqe kwa bp ukiwa na miaka 35 na watoto wasiteseke maana anawamudu ama umfanye mama wa nyumbani kisha we ufe ukiwa na miaka70 na watoto wako wenye umli wa miaka 35-45 wateseke kuishi bila baba. Hapo hata wewe unachagua nini?
Mh ukiwa na mtazamo uho utofanikiwsYa mama wa nyumbani. Mke kumpa uhuru wa kujitafutia ni kumpa ruhusa ya kuliwa tu na watu wa nje.
Hivi unawajua mababy wa ofisini walivyo? Ofisini wanatania baby baby za kutosha na vizawadi vya hapa na pale, ukija kustuka unaisikilizia kwenye spika huko milio.
SawaAhahah kazana utampata
Watulie nyumbani sio kwenda kuhangaika huko mwisho wa siku watamaniwe na wahuniMnafact ipi inayo wafanya kuwazuia wake zenu kufanya kazi au kufanya biashara wengine mme waachisha wake zenu kazi mliwakuta wameajiriwa lakini baada ya kuwaoa mmewapiga pini wasijushugulishe na kazi.
Mnaongeza idadi ya magoli kipa kuwa wengi mwisho wa siku mkija kufa mashemeji na mawifi ndio wana pata shida kutunza familia mbili.
Mapenzi ni wivuUho ni ujinga kuna mda inatakiwa kuacha wivu haya unakataa uko mke anakuja kuliwa na boda tena ni mdogo kwako na kwa mkeo si dharau?
Kazi ya mwanamke Haina impact kwenye ndoa yanini aranye kazi kati ya 100% ya wanawake, wanawake wenye kisaidia waume zao ni 10%. Kufikiaia miaka ya 80, baada ya hapa ni ngomaMnafact ipi inayo wafanya kuwazuia wake zenu kufanya kazi au kufanya biashara wengine mme waachisha wake zenu kazi mliwakuta wameajiriwa lakini baada ya kuwaoa mmewapiga pini wasijushugulishe na kazi.
Mnaongeza idadi ya magoli kipa kuwa wengi mwisho wa siku mkija kufa mashemeji na mawifi ndio wana pata shida kutunza familia mbili.
Jambo la mtu na mkewe mipango ya maisha yao wanavyotaka kuishi ni juu yao.Mnafact ipi inayo wafanya kuwazuia wake zenu kufanya kazi au kufanya biashara wengine mme waachisha wake zenu kazi mliwakuta wameajiriwa lakini baada ya kuwaoa mmewapiga pini wasijushugulishe na kazi.
Mnaongeza idadi ya magoli kipa kuwa wengi mwisho wa siku mkija kufa mashemeji na mawifi ndio wana pata shida kutunza familia mbili.
KabisaKuna wanawake wanapenda kuwa wamama wanyumbani wapo na nmewashuhudia, lkn kama mwanamke ulimkuta akifanya kazi na kwako ukaona si njema hutakiwi kumuachisha na kumuacha nyumbani bali watakiwa kumtafutia mbadala. Naamini katika wote kujishughulisha hata kama mwanaume unakipato, usimkalize mkeo nyumbani.
Hata kama pesa yake haikusaidii kwa sasa, itakusaidia baadae. Kuna vifo kuna magonjwa mke anafaa kuzoea kusimama bila kuwa tegemezi.
Mazingira yanawabadilisha wanawake wengi sana,hata akiwa ana msimamo akikutana na mazingira fulani ataliwa tu,hasa mazingira ya Ofisini tupo nao tunawaona.Kwamba mke wake ndio mzuri zaidi dunian kote hakuna? Ni upumbavu mwanamke akiamua kuchepuka anachepuka vizur
Tunaenda sawa mkuu.Nadhani kama una biashara au miradi ni vyema ahusike katika kukuza ama kuendeleza, japo siyo vyote atapata kujua.....
Hii itamjengea uwezo wa kusimamia kitu chochote ikiwa umekosa nafasi, ni mgonjwa, umekufa, au haupo karibu na miradi yako!
Hata kama Kuna wafanyakazi anakuwa msimamizi...... Apate experience ya kazi
Nina shuhuda ya hii kabisa..... watu waliokuwa wanawashirikisha wake zao kwenye biashara au miradi na kuona matunda hata ingawa hawapo duniani.....
Kuajiriwa sio kipaumbele kwa mwanamke wangu......
Ni maoni
Kwhy wewe unaweza kuzuia mkeo asiliwe?Mazingira yanawabadilisha wanawake wengi sana,hata akiwa ana msimamo akikutana na mazingira fulani ataliwa tu,hasa mazingira ya Ofisini tupo nao tunawaona.
Asante boss wanguTunaenda sawa mkuu.
😂😂Hata mimi hua ninashangazwa sana na wanaume wa aina hii mkuu.
Hili watu tunalifumbia macho lakini mazingira yanachangia pakubwa saanaMazingira yanawabadilisha wanawake wengi sana,hata akiwa ana msimamo akikutana na mazingira fulani ataliwa tu,hasa mazingira ya Ofisini tupo nao tunawaona.