Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swali fikirishi....Sawa ukamuachia mali akashindwa kuendeleza inakuwaje?
Wivu ndio shidaHata mimi hua ninashangazwa sana na wanaume wa aina hii mkuu.
Kumbe kuna madhumuni?Inategemea umemuoa kwa dhumuni lipi
Mwanamke achungiw akitaka kuliwa analiwa vizuri na akitaka ujue kama analiwa atakuonyesha tuNafikiri hakuna formula hapa... Hao wanawake magolikipa mnaowaacha nyumbani.....Wanaliwa huko huko nyumbani mlipowaacha.... Pppptttyyyuuu
Hapa umemuongelea Mwanamke Kama “kitu/kifaa” kisicho na utashi wala utambuzi.Mwanamke hawezi kuwa submissive kwa wanaume wawili au zaidi - wewe na boss wake.
Ni either awe submissive kwako (awe goalkeeper) au submissive kwa boss wake (aajiriwe). Uamuzi ni wako.
Kuhusu kuteseka ukifa haina uhusiano wowote kama utacheza nafasi yako vizuri kama mwanaume.
Yani wanaume tumeumbiwa matesoa yani fikiria hii mada tayari imeishamtanguliza mwanaume mautini mapemaMnafact ipi inayo wafanya kuwazuia wake zenu kufanya kazi au kufanya biashara wengine mme waachisha wake zenu kazi mliwakuta wameajiriwa lakini baada ya kuwaoa mmewapiga pini wasijushugulishe na kazi.
Mnaongeza idadi ya magoli kipa kuwa wengi mwisho wa siku mkija kufa mashemeji na mawifi ndio wana pata shida kutunza familia mbili.n
We oa mwajiriwa. Utatuletea mrejesho.Hapa umemuongelea Mwanamke Kama “kitu/kifaa” kisicho na utashi wala utambuzi.
Kwamba huyu kiumbe Mwanamke mwenye akili timamu na ukamilifu wa ufahamu hajui lipi anataka na lipi hataki?
Kwamba huyu Mwanamke aliyekula kiapo cha Ndoa kwa hiyari yake hatambui nafasi ya Mume wake kwake na nafasi ya Boss wake kwake?
Kwamba huyu Mwanamke hatambui mipaka ya mahusiano yake yaliyotofauti na Ndoa yake?
Umeoa Taahira??
Ahahaha wanaume tunatangulia kufa iyo ipo waziYani wanaume tumeumbiwa matesoa yani fikiria hii mada tayari imeishamtanguliza mwanaume mautini mapema
Hao ndio nawaongela hapa mkuuWengine wanaachishwa kazi lakini waume hawana uwezo kimsingi kabisa kutoa matunzo, mwisho unakuta mdada anapauka, anakosa nuru na kufubaa.
Kama huna uwezo kumtunza unamuachisha kazi ili iweje, basi kubalianeni asimamie miradi yenu, walau atapata ya mafuta, lotion na perfume anukie vizuri.
Maofisini wanagegedwa sana mpaka wanarekodiwa.Mnafact ipi inayo wafanya kuwazuia wake zenu kufanya kazi au kufanya biashara wengine mme waachisha wake zenu kazi mliwakuta wameajiriwa lakini baada ya kuwaoa mmewapiga pini wasijushugulishe na kazi.
Mnaongeza idadi ya magoli kipa kuwa wengi mwisho wa siku mkija kufa mashemeji na mawifi ndio wana pata shida kutunza familia mbili.
Ebwana huyo jamaa yupo wapi?Kuna jamaa namjua kabisa na alioa mke msomi na mzuri na mfanyakazi serikalini.
Kwenye idara ya mke wake aliletwa mkuuu mpya, ambaye alikuwa Ex wa huyo mwanamke.
Jamaa alimpa optio kuacha kazi au kuacha ndoa...
Spoke like a true gentleman. Hapana kuwa na wivu kuelekea mbususu. Wakati wowote inasssambuliwa tuuWengine ni wivu tu,akiwaza alichowafanya Baltazary, anawaza kua na mkewe itakua ni hivyohivyo, ingawa ni ukweli kua UNATAKIWA USIWE NA WIVU,mfano mkeo labda ni nesi au askari,kuchapiwa ni kawaida sana.
Mnafact ipi inayo wafanya kuwazuia wake zenu kufanya kazi au kufanya biashara wengine mme waachisha wake zenu kazi mliwakuta wameajiriwa lakini baada ya kuwaoa mmewapiga pini wasijushugulishe na kazi.
Mnaongeza idadi ya magoli kipa kuwa wengi mwisho wa siku mkija kufa mashemeji na mawifi ndio wana pata shida kutunza familia mbili.
Ila wanatoa mirinda kwa bodabodaMaofisini wanagegedwa sana mpaka wanarekodiwa.
Bora huku mtaani wakigegedwa wazee wa bodaboda hawawezi kuwarekodi
Sasa si amri za kiofisi tuYaan mke wangu awe na boss wake sio? Yaan awe na mtu mwingine ambae anampa amri zaidi yangu? Kwangu hapana...
Boda oda mbona mnawasingizia mengi jamaniIla wanatoa mirinda kwa bodaboda
Hatuwasingizii wao kwao wanashika nyetBoda oda mbona mnawasingizia mengi jamani