Kama ipo ipo
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,119
- 1,728
Wengi wanaowaza hivi ni zip mbovu, manipulative, weak na wapenda vinyonge. Jukumu la familia ni la wazazi wote kwa ustawi wa watoto. Sasa kusema eti mke ana majukumu mengi yanayoihusu familia hilo halipingiki ila sio kufikia eti aachishwe kazi. Watu wanaotaka mama wa nyumbani wanatakiwa waoe mama wa nyumbani na sio kuoa tofauti waanze kushinikiza au kushauri hao wake zao kuacha kazi.